Recent content by ZDTE

  1. Z

    Rai yangu kwa wana Arusha na CHADEMA

    sasa ni wakati wa kuondoa nidhamu ya woga wapo si wanafiki kama hawa madiwani waliotimuliwa haijalishi wana uwezo au la, kutunza utu wa wanaowaongoza ndio cha msingi hichi wamekisahau na kufikiri waliingia kwenye udiwani kwa uwezo wao sasa wakati wa kusafisha mamluki umefika, kwa kifupi mamluki...
  2. Z

    Rai yangu kwa wana Arusha na CHADEMA

    kwa kweli chadema nimewakubali sasa si zama za kufumbiana ndio sababu nchi inaingia katika mikataba mibovu kwa sababu ya kulea madudu,bora wabaki wawili ambao si mamluki ,
  3. Z

    Disco la nguvu la kesha siku mbili mfululizo MAKABURINI!!

    sio ajabu labda kwa mlio mjini sehemu kama ujaluoni ni kawaida sana watu wanaselebuka tuu kunywa mpaka kuchee,binafsi nilihswahi kuhudhuria kilio cha rafiki yangu mjaluo huko musoma nilishangaaa tuu ikabidi nitulie ilikua vigumu kukubaliana nao lakini ndo utamaduni wao ,kweli zunguka uone...
  4. Z

    Mch. Rwakatare amepanga kukanusha tuhuma za umafia kesho kwenye ibada

    ya kaisari mpe kaisari na yalio ya Mungu mpe Mungu huwezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja kwa uelewa wangu Siasa na Mungu zipo tofauti kabisaa hazikai pamoja kabisaaaaa kwa sababu siasa is all about longolongo.com
  5. Z

    Wasanii wa bongo fleva mmmmh, huyu ndo bob junior....

    Aisee pozi la kudesea
  6. Z

    Hili gazeti la jambo leo linakera!

    Hili ni gazeti la udaku wa kisiasa
  7. Z

    No control over Religious radio stations over hate speeches

    wazee wa ku cut and paste bora hata ingekua ku copy and paste maana wangeweza ku edit kidogo malumbano ndo zao
  8. Z

    Mjadala wa katiba mpya ITV; Mnyika, Tambwe Hizza na Dr. Mvungi

    katiba mpya muhimu tusikubali kufundishwa nidhamu ya uoga
  9. Z

    Mjadala wa katiba mpya ITV; Mnyika, Tambwe Hizza na Dr. Mvungi

    Ki mtazamo nilivyomsoma huyu jamaa wa ccm malipo ya dowans ndio ajenda kubwa kwao ambayo taka tusitake lazima yatafanyika :frusty: suala la katiba mpya ni ndoto labda kutumia nguvu ya uma kwa mfumo wa sasa ni sawa na danganya toto why jamaaa anadhubutu kusema mimi na wewe hatutaki katiba mpya...
Back
Top Bottom