Recent content by zavi

  1. Z

    PAMBANIENI UHURU; Ameandika Baba Askofu Steven Munga

    Laki s pesa nikiona jina lako nacheka sana, makumbuka wakati Wa kampeni ulikuwatimu mamvi damu, sijui ulipiga u turn lini.Njaa mbaya sana.
  2. Z

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Numbisa, Niko mbali kidogo nafuatilia isidingo hapa. Mbona sioni ya Ijumaa mpendwa.Unatusaidia wengi wenye ugonjwa Wa Isidingo
  3. Z

    Rais na Mwenyekiti wangu Dr. Magufuli,Mungu anakuona!

    Kila jambo na wakati wake, sidhani kama ana upendeleo na kanda ya ziwa ni mtazamo potofu. Maendeleo yote yana athari zake tuvumilie IPO siku tutamkumbuka.
  4. Z

    Uhamiaji: Paspoti zinazotolewa siyo vitambulisho ndani ya nchi

    Mi naona hamjamuelewa anachomaanisha, anashauri watu wasitumie kama kitambulisho hii itasaidia kutoibeba Mara kwa Mara na kutembea nayo kila Siku Ili kupunguza uwezekano Wa kupotea kirahisi.
  5. Z

    Sebastiani Ndege ni Jembe

    Mama yake wa kambo, sio mama mzazi Mama take mzazi alishafariki
  6. Z

    Kikwete amteua Daudi Felix Ntibenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

    Lakini ni akili ndogo, huwezi kupelekwa kusomea mambo ya msingi na kiusalama kama hayo halafu unaropoka hovyo mbele ya hadhara.
  7. Z

    Anguko kubwa la uchumi: Shirika mama: Wafanyakazi zaidi ya 200 waomba kuacha kazi kisa mteule wa JPM

    Kama in bandarini namuunga Mkono.Hakuna sehemu kulikooza kama huko. Watu walikuwa wanaajiliwa kwa kufuata ukoo. Kuna familia wanne yaani kaka mkubwa na wadogo zake watatu wote wako bandari. Ila kaka mkubwa alitumbuliwa na Magu juzi kati.Huko awashughulikie kwakweli na wengi hawana elimu na...
  8. Z

    Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

    Msije lia maana inawezekana hapo watu 2000 mawakili hewa, ahaaa natania.
  9. Z

    Nataka kuwa mjasiriamali mkubwa mwenye mafanikio makubwa

    Acha chuo, ujikite kwenye mirdi yako kama unataka kuwa mjasiliamali mkubwa. Tatizo huna uhakika na ndoto yako ya Ujasiliamali ndio maana umerudi chuo.
  10. Z

    Biashara ya Kuuza Nyama (Butcher's Shop): Mambo Mbalimbali ya Kujifunza

    H Naomba ufafanuzi zaidi maana Mimi ni muhanga. Nimeandika butcher
  11. Z

    Biashara ya Kuuza Nyama (Butcher's Shop): Mambo Mbalimbali ya Kujifunza

    Machine laki nane wapi mkuu. Mi nimezunguka mjini 1.3 mpaka 1.6.
Back
Top Bottom