Recent content by Zashah

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Jambo muhimu sana kwa wataalam wa Madini

    Inategemea na aina ya madini na aina ya biashara. Kama ni mnunuzi mdogo wa madini ya dhahabu(Broker) unaweza kuanza hata na 2M ila kama ni Mnunuzi na Muuzaji mkubwa (Dealer) mtaji wake wa chini ni 100M
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 25, naweza kuwekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi?

    Mwaka mzima haiharibiki, no service, dereva hajapata breakdown ..? [emoji23][emoji23][emoji23] Hakuna hesabu kama hizoooo....
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Gharama za kishika uchumba/Mahali kwa makabila tofautitofauti nchini

    Ila sambamba na hiloo naomba kufahamishwaaa hiviii barua ya posa hua inaandikwajee? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Z

    JamiiForums Tanzania KINACHONIUMA NI SADAKA ZETU ....

    Kwanini usitume humuuu
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa haya kuhusu kuagiza mzigo China

    Nisaidiwe jamani hii CBM ndo nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Ufahamu juu ya mawe haya

    Ninawasiwasi wewe ndo hujanielewa... ili uweze kujua Jina la mwamba au Jiwe kunabaadhi ya sifa unapaswa kuona physicaly. Rangi peke haitoshi kwakua germstons maranyingine hufanana rangi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Ufahamu juu ya mawe haya

    Inakua vigumu kufanya rock determination through photo rather than physical observation Ila kwa mtazamo wangu naona kama Yellow sapphire. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Z

    JamiiForums Tanzania DUKA LA COVER ZA SIMU NA SCREEN PROTECTOR

    Mafaniko hujengwa na misingi ya kutokata tamaa. Hivyo pamoja na research usikate tamaa mkuu ukaishia njiani Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Mdada wa benki wa ukweli sana

    mwambie unabank yako unataka kumuajiri
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Biashara ya fedha mipakani

    Hao wanaojua uhalisia ndio haswa ndio tunawataka however kupata elimu ya hiyo biashara sio lazima mtu ukaifanye.... kujua ni kitu kimoja na kuifanya ni another thing.
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Biashara ya fedha mipakani

    Mimi sikua kwenye IT naomba mjuzi anifahamishe kuhusu hii biashara. Ukiwaza kwa kina utagundua jamaa anania nzuri ya kushare na wadau kuhusu hili jambo,,,,,Me nafikiri tusubiri ananayefahamu ili iwe ni elimu kwa wale tusiojua kuhusu hiyo mambo.
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Ni athari zipi nitapata

    wapo njiani wanakuja :confused:subiri
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Masikini Ommy Dimpozi Mungu akusimamie kaka

    Mungu afanyie wepesi,,,, nasi atujalie afya njema
Back
Top Bottom