Recent content by zandrano

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Lissu anaogopa kunyongwa ndio maana anajitetea siku tatu mfululizo

    Akikutwa na hatia atanyogewa uwanja wa Taifa. huyu ni msaliti na mchafuzi wa tunu za Taifa letu.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Lissu anaogopa kunyongwa ndio maana anajitetea siku tatu mfululizo

    Akikutwa na hatia atanyongewa uwanja wa Taifa. Msaliti na mchafuzi wa tunu za Taifa letu.
  3. Z

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Fao la Kujitoa limerudishwa kisheria, kwanini NSSF hamtangazi? Kwanini mtu akitaka hela zake zote (Lump Sum) anazungushwa?

    Huu uzi ni wa mwezi Machi lakini nimeuona leo Octoba 1. 2026. Kimsingi kuna hoja ya msingi kwwnye uzi huu. Bilashaka NSSF/ PSSF watakuwa wameona ujumbe huo na wanapaswa wajirekebishe haraka. waache urasimu na ukiritimba kwenye mafao ya watumishi wa umma.
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wanapaswa kuwafukuza kazi madereva wote walio gomea kuendesha magari yao

    Ahsanteni sana kwa maderva mlio tii na kuingia mzigoni. Tupige kazi jamani tuache blaablaa
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wanapaswa kuwafukuza kazi madereva wote walio gomea kuendesha magari yao

    Nawaasa Maderva wote wa mabasi endeleeni na kazi kama kawida wakati madai yenu yanashughulikiwa. kama hutqki kufanya kazi kaa pembeni.hakunq kubembelezana.
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wanapaswa kuwafukuza kazi madereva wote walio gomea kuendesha magari yao

    Tulia njaa ikutandike, unachezea Serikali wewe Utakatwa point kwa makosa utakayo fanya. Point zunakatwa endapo tu dereva atafqnya kosa na sio vinginevyo. Yote hayo yamewekwa ili kulinda usalama wetu sisi abiria, ila madereva wao wanataka waendeshe gari ovyo. Kama kuna dereva au madereva walio...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Dondoo za final submission ya Katuga

    Kesi ya uhaini iko wazi sana wala haitaji darubini. Matamshi ya Lisu aliyo yatoa yanajieleza yenyewe kuwa alipanga na kuhamasisha uasi na yeye anakiri kuwa kweli matendo atakayo yafanya ni UASI alisema kuwa watavuruga uchaguzi na kweli iltokea hivyo. n.k. Ni kwamba Lisu alijua madhara ya...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wanapaswa kuwafukuza kazi madereva wote walio gomea kuendesha magari yao

    Sasa ndugu unataka nikuuzie? Anjoo kwenye jukwaa la biashara.
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wanapaswa kuwafukuza kazi madereva wote walio gomea kuendesha magari yao

    Tanzania ndio nchi inayo ongoza kuwa na madereva wa kuendeshq magari makubwa yakiwemo mabasi. Baadhi yao wameajiriwa ktk nchi za kiarabu. Waliopo mitaani wanao tafuta kazi ni wwngi sn.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wanapaswa kuwafukuza kazi madereva wote walio gomea kuendesha magari yao

    Mimi ni mkulima wa maharagwe huku ipalamwa. huu ni mgomo wa kipuuzi, madereva wote wata nyang'anywa funguo kwa kufanya mgomo kiholela bila kuzingatia madhara.
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wanapaswa kuwafukuza kazi madereva wote walio gomea kuendesha magari yao

    Sio kweli, wamiliki wa mabasi hawawezi kufanya ujinga huo. Ndio maana kuna maazimio ya kuwanya'ganya funguo madereva wote waliohusika kwwnye upuuzi huu.
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wanapaswa kuwafukuza kazi madereva wote walio gomea kuendesha magari yao

    Wakati mwengine lazima Ubabe utumike, maana. Madhara wanayo sababisha kwa madereva kugoma ni makubwa sana.
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Kuna viashiria na uwezekano mkubwa kwamba chadema wanaandaa, kuratibu na kupanga fujo siku ya hukumu ya Tundu Lisu.

    hawa wahuni wanapaswa wasichekewe. Wafuatiliwe hadi chooni.
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wanapaswa kuwafukuza kazi madereva wote walio gomea kuendesha magari yao

    Madereva wenye uzoefu na sifa wapo wengi sana mitaani hawana kazi. Hivyo matajiri jambo la kufanya ni moja tu, wafukuzeni kazi madereva wote ambao wamegomea kufanya kazi kisha wekeni madereva wengine wenye nia ya kufanya kazi. Hatuwezi kubabaishwa na wahuni wachache. Nyang'anya funguo kabidhi...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Uteuzi na Uhamisho wa Wakuu wa wilaya, Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri, Septemba 28, 2026

    Tunawapongeza kwa kuaminiwa. Sasa wakachape kazi kwajili ya watanzania.
Back
Top Bottom