Recent content by zandaboy

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atishia kuwatumbua majipu Mawaziri wawili; wenzao wabaki vinywa wazi kikaoni

    Taarifa inatia shaka mnoooo!!
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Serikali ijielekeze katika kudhibiti kasi ya Ongezeko la watu nchini

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wametakiwa kuihimiza serikali kujumuisha katika mipango yake ya maendeleo suala la idadi ya watu inayoongezeka kwa kasi kubwa. Mkurugenzi mkazi wa Advanced Family Planning (AFP) Halima Sharrif amesema ili taifa liweze kufikia malengo yake ya...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Ahadi za Mh. Lowassa

    Nimefuatilia kampeni za wagombea urais na kusikiliza AHADI zao na kubaini ukweli mmoja: kwamba, AHADI za Lowassa ni Realistic, Consistent, Measurable, Attainable & Achievable within the prescribed tenure of office (5 years). Anayefuata ni mgombea urais wa ACT. My Observation!
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa kwa taifa letu

    Simply: Kwenye miti hakuna wajenzi!
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge wa ccm jimbo la kigoma kusini ashindwa kujaza fomu kwa usahihi

    haki ikitendeka huyo mgombea atakuwa amepoteza sifa.
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mishahara serikalini

    Ni kweli mkuu, vuta pumzi...ukweli utajulikana Julai kama nyongeza ni elfu 3, au..., si unajua ndio viwango vyao!!?
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Looking for qualified Librarian?????

    If there is any institution which is looking for a qualified librarian in private organization/institution in DSM, please contact me via this JF platform. I'm available for the JOB. I have a first class diploma in Librarianship from SLADS - Bagamoyo, I command two langauges (english and...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya part time as communication liaison officer/Instructor

    Wadau wa JF, natafuta kazi ya part time as Communication Liaison officer au instructor ktk fani ya mawasiliano kwa umma au uandishi wa habari ktk chuo chochote jijini dar au mikoa iliyo karibu na dar. Masuala mengine ni baada ya mawasiliano kufanyika.
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    wadau mliopo eneo la tukio, endeleeni kutujuza kinachoendelea huko. hv ni kweli askari 1 na raia 4 wamekufa?
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    mmmmmhh!!!...thnx kwa matukio. Angalau kuna jitihada zinafanyika kudhibiti hali ya mambo!
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    kuna kingine?
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Kinondoni mabomu yanarindima na helicopter juu inazunguka...

    Sasa bhaaaass!..inatosha!..polisi fanya kazi yenu!!!
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Hali tete Central Police Dar; wafuasi wa Sheikh Ponda waanzisha purukushani!

    Kila kukicha wao tu! Bahati mbaya serikali imelala usingizi mzito!...jamaa wanafanya wapendavyo! Labda tukumbushane, tanzania ni yetu wote!
Back
Top Bottom