Recent content by ZAMDELA

  1. ZAMDELA

    Kitambulisho cha NIDA kwa mara ya pili

    Pamoja sana mkuu.
  2. ZAMDELA

    Kitambulisho cha NIDA kwa mara ya pili

    Sio kitu chepesi kabisa. Zaidi ni kwamba taarifa zako hizo mpya zitakuwa rejected kwa maana kwamba fingerprints zako tiyari zimeshatunzwa kwenye mfumo wa NIDA.
  3. ZAMDELA

    Kitambulisho cha NIDA kwa mara ya pili

    Mkuu! 20,000 ni pale tu endapo mhusika atakuwa tiyari ameshapokea kitambulisho chake, na kitambulisho kikawa ndo tiyari kina makosa hayo bila ya yeye kugundua. Pili, pale ambapo mhusika hajakipokea kitambulisho chake (ana namba ya kitambulisho pekee) lkn makosa yaliyopo ni kutokana na kukosea...
  4. ZAMDELA

    Pick up lines...

    I think you're a Wi-Fi and I feel connected.
  5. ZAMDELA

    NBA 2020 / 2021 special thread

    Hii season nabashiri final play offs kuwakutanisha Utah Jazz na Brooklyn Nets.
  6. ZAMDELA

    Hitaji la ukumbi wa kufanyia Sherehe ya Sendoff

    Pale Mgulani JKT kuna ukumbi wa kukidhi hitaji lako mkuu.
  7. ZAMDELA

    Picha:Marais kadhaa wa Tanzania wakiwa wametembelewa na marais wa kimataifa

    The "Subordinate" protects the "Right".
  8. ZAMDELA

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Jones, the lad is real maturing.
  9. ZAMDELA

    Msaada tafadhali : Nafanyaje kupata Proof of residence katika hili?

    Weka anuani ya makazi uloiweka kwenya kitambulisho chako cha Utaifa.
Back
Top Bottom