Recent content by zakhakartel

  1. zakhakartel

    JamiiForums Tanzania Dkt Nchimbi: CCM imekasirishwa sana na mauwaji ya Ali Kibao na serikali iharakishe haraka uchunguzi na matukio yakomeshwe

    Me sindio nashanga hapa au upi embu watuambie
  2. zakhakartel

    JamiiForums Tanzania Dkt Nchimbi: CCM imekasirishwa sana na mauwaji ya Ali Kibao na serikali iharakishe haraka uchunguzi na matukio yakomeshwe

    Jamaa unatarifaa kamili sana na wametafuta hadi mtoto wake kila kitu wamepata ila bado yupo tu afu wanagangana kufungia lessen za magari badala wa deal na bibi harusi wao
  3. zakhakartel

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri za Serikali kwa mchepuo wa PCB

    Pcb ya nini wewe nenda huko kwa klf ajira ngumu wewe
  4. zakhakartel

    JamiiForums Tanzania Dkt Nchimbi: CCM imekasirishwa sana na mauwaji ya Ali Kibao na serikali iharakishe haraka uchunguzi na matukio yakomeshwe

    Haya yote yapo kwenye uwezo wa mwenye nchi yake
  5. zakhakartel

    JamiiForums Tanzania Age-mates wangu waliojiingiza kwenye ndoa wamechoka, wanatia huruma. Mimi ambaye bado "napuyanga" naponda raha tu

    Ponda raha ikifika wakati utapondwa na kuomba ufresh😁
  6. zakhakartel

    JamiiForums Tanzania Dkt Nchimbi: CCM imekasirishwa sana na mauwaji ya Ali Kibao na serikali iharakishe haraka uchunguzi na matukio yakomeshwe

    Sasa yakomeshwe vp na mtu wameshamjuwa na hatuoni hatua hatua kwanza ichukuliwe hata ya kunyonga hao watu ndo iwe fundisho kwa wengine
  7. zakhakartel

    JamiiForums Tanzania Tetemeko mjini Arusha

    Tetemeko imetokea kwel mpaka maeneo ya huku ngaramtoni juu ni kubwa mno afu lipo slow motion
  8. zakhakartel

    JamiiForums Tanzania Ayub Ryoba wa TBC fanya kazi punguza uchawa

    Sasa bila uchawa watu hawaendi
  9. zakhakartel

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana uwezo wa kununua hata helikopta yake binafsi kwa hela yake mwenyewe kutokana na kufanya kazi kwa miaka mingi

    Ndugu admini helkopta atanunuwa aniapeleka wapi watu watasema kataifisha mkuu watu hwatamuelewa kazi nyingi ni zake siyo zetu
  10. zakhakartel

    JamiiForums Tanzania Ukiona Watu wanaanza kujadili Mavazi ya Viongozi ujue Maisha yamekuwa magumu, 1983 Sokoine alisifiwa kwa Kuvaa Safari buti!

    Unaongea kama vile hujui we jamaa kama maisha ni magumau yaaani😂
Back
Top Bottom