Recent content by zakayohabeli

  1. zakayohabeli

    Pre amp

    Mwenye mchoro wa pre amp single supply an high pass na low pass anisaidie Pia wa tone cotrol single supply mchoro unaotumia jrc4558
  2. zakayohabeli

    Darasa huru, Jifunze hapa kusuka amplifiers

    Nipo singida mkuu garama ni kulingana na wewe unataka ya ukubwa gani mkuu afu kuhusu ubora sijawahi pata malalamiko kwa amp nazosuka mm kwahiyo usijali kua na amani mkuu we unahitaji ya ukubwa gan na unaenda kutumia kwenye spika za aina gani mkuu
  3. zakayohabeli

    Darasa huru, Jifunze hapa kusuka amplifiers

    Nasuka amplifier kwa oda mkuu kama unahitaji
  4. zakayohabeli

    Darasa huru, Jifunze hapa kusuka amplifiers

    Mkuu mm nasuka kwa oda anaehitaji
  5. zakayohabeli

    Darasa huru, Jifunze hapa kusuka amplifiers

    Tuko pamoja mkuu booster ndio zetu
  6. zakayohabeli

    Darasa huru, Jifunze hapa kusuka amplifiers

    Asante sana kaka ngoja nifanyie kazi
  7. zakayohabeli

    Darasa huru, Jifunze hapa kusuka amplifiers

    Nakupata fresh mkuu Mimi nataka nijifuze zaid kuhusu switch mode maana transformer kuzipata ni garama sana Hio picha hapo juu ni amplifier Natamani nipate mchoro wa switch mod ambyo output iwe na 30-0-30 v Ina sound nzurii sanaa
  8. zakayohabeli

    V12 power amplifier

    Mzee hujaelewa tunachokiongelea ....huu mchoro si wa power supply ya kawaida kabisa
  9. zakayohabeli

    Wataalamu wa TV za chogo msaada tafadhali

    Saiv nachotaka an fbt iteme tu ikisha tema ndio ntajua kioo kimekufa au laa maana circuit ninayo pembeni huku an nimechomoa waya zote ninebakisha wa standby na button tu
  10. zakayohabeli

    Wataalamu wa TV za chogo msaada tafadhali

    Kwahy kioo Kikiifa mpaka fbt itakua haitemi et??
  11. zakayohabeli

    V12 power amplifier

    Nisaidie huo mkuu
  12. zakayohabeli

    Wataalamu wa TV za chogo msaada tafadhali

    Hahahahaaaaaaaa[emoji16][emoji16][emoji16] Sent from my TECNO SA1 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom