Recent content by zakayo isaya

  1. zakayo isaya

    Serikali kuanza kukagua ubora wa Vituo vya Kutolea Huduma za Afya, wanaanza na Muhimbili Hospital

    Ww kujeni hospitali za Tamisemi district hospitals health centre na dispensaries watu wanakaa sana mpaka wananyooka Halafu unapiga mkwara kuwa wagonjwa wanakaa sana wakati watumishi hawapo especially new established hospitals hazina watumishi kabsa mnataka wajigawaje Anza na kuweka man power...
  2. zakayo isaya

    Waziri Bashungwa amsimamisha Mkurugenzi wa Mvomero Bw Hassan Njama Hassan kwa Ufisadi wa kutisha

    Huyu Bashungwa hafai civics yangu tu ya o level inakinzana na uamzi aliochukua na akienda hivi atatengua wateule wa rais wote kulingana na anavyojickia wallahi
  3. zakayo isaya

    Wasichana 98 wa miaka 10-19 huambukizwa ukimwi kila wiki nchini Kenya

    Kwa kweli kuna vtu huwa vinanistikisha sana nikiskia mtu keshaanza ngono by 10years to 15yrs. Kitu pekee ambacho mm huwa nakiona hapa ni malezi tu basi Mm napenda ngono lkn sikuwahi kihivyo kutokana na pins zilizokuwa zimewekwa home na wazazi So sad
  4. zakayo isaya

    Polisi sasa wanawakamata wanaume wanaowanunua dada poa, wanawake hawakamatwi

    Sioni tatizo kwenye hii biashara ya ukahaba na inashangaza wanapotumia nguvu nyingi kuzuia hii biashara Nikimkumbuka rahabu wa kwenye biblia ndo nazidi kushangaa kabsa hata yuda aliponunua mwanamke ili ale mzigo ndo kabsa pumzi inaisha sasa kama kitu ni cha enzi na enzi kwann uhangaike...
  5. zakayo isaya

    Tunisia: Rais avunja Bunge na kusema Wabunge watashtakiwa kwa usaliti

    Nimeipenda hii Japo mwisho wake kama nauona hivi
Back
Top Bottom