Habari,
Kama imeandikwa. Ningetaka kuunda kama society itakayohusu sekta ya ujenzi.
Kwa hiyo ninahitaji partners kwa ajili ya:
- Kupandisha mtaji
- Kutafuta viwanja
- Kutafuta wateja
- Kuajiri wafanyakazi
- Kufanya taratibu zote za serikali.
Kama uko serious na una interest na sekta hiyo nipe...
Habari
Ningetaka kuanzisha biashara ya uuzaji mafuta ya gari
Ninatafuta partner.
Masharti :
Awe na skype, tuzungumze kwa haraka.
Kama hapendi kuandika / Kusoma, sina haja.
Ahsante
As Salaam alaykum
Ninatafuta patner kwenye Kilimo kuwekeza na kufanya kazi nami Tanga.
Tutafikiri pamoja mazao gani yatalipa. Na eneo ya kuuza. Baadae tutafuta shamba na wafanyakazi husika.
Kwa mfupi, ninawatafuta watu na characteristic hizi.
* Tanga
* Mtaji hata mdogo
* Mwaminifu
* Anajua...
As Salaam alaykum
Ninatafuta patner kwenye Kilimo kuwekeza na kufanya kazi nami Tanga.
Tutafikiri pamoja mazao gani yatalipa. Na eneo ya kuuza. Baadae tutafuta shamba na wafanyakazi husika.
Kwa mfupi, ninawatafuta watu na characteristic hizi.
* Tanga
* Mtaji hata mdogo
* Mwaminifu (Muislamu...
Ningetaka kuunda kampuni ndogo ya kujenga nyumba nzuri lakini ya bei sawa kwa ajili ya watu. Lakini ninahitaji skills na watu ambao wana mawazo yale pia.
Ningetaka kufungua ofisi ya architecture (usanifu).
Lakini ninahitaji associates.
Tunahitaji kuwa watatu at least.
Kila mmoja atashughulika na sekta moja.
- wateja
- fedha
- kujenga
- sheria na taifa
Ninafikiri si tofauti. Kupata permit lazima kusaidiwa na lawyer. Au labda sifahamu chochote. Siwezi kwenda immigration na kuuliza residence permit. Lazima mtu afanye process zote. Mtu huyu ni lawyer au kuna process nyingine ambayo sijui .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.