Residence Permit Class 'A' (Kibali cha Makazi Daraja A). Lawyer Wanted

Z

zakarya

Member
Joined
Nov 1, 2015
Messages
18
Points
45
Z

zakarya

Member
Joined Nov 1, 2015
18 45
Kama nimeandika kwebnye title.
Ninatafuta mwanasheria atakayenisaidia kupata Residence Permit class 'A'.
Mtu mwaminifu atafanya process zote kwa ajili yangu.
Pia nitahitaji dependent pass.

Serious person only. Mtu mwanifu tu.
 
kayaman

kayaman

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Messages
3,835
Points
2,000
kayaman

kayaman

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2013
3,835 2,000
Umesema unahitaji lawyer au mtu atakaekusaidia kupata permit? Fafanua mkuu.
 
Z

zakarya

Member
Joined
Nov 1, 2015
Messages
18
Points
45
Z

zakarya

Member
Joined Nov 1, 2015
18 45
Umesema unahitaji lawyer au mtu atakaekusaidia kupata permit? Fafanua mkuu.
Ninafikiri si tofauti. Kupata permit lazima kusaidiwa na lawyer. Au labda sifahamu chochote. Siwezi kwenda immigration na kuuliza residence permit. Lazima mtu afanye process zote. Mtu huyu ni lawyer au kuna process nyingine ambayo sijui .
 

Forum statistics

Threads 1,303,744
Members 501,127
Posts 31,490,940
Top