Namuunga mkono mtoa mada. kingine wanachoweza ni kubambikizia watu kesi zisizo na vichwa wala miguu, na baadaye kuaibika mahakamani baada ya kesi kutupiliwa mbali.
Hicho ndicho wanachokijua kwa sababu hakuna haja ya kutumia akili au busara. Lakini inapokuja kuchunguza matukio ya vifo, umwagiaji tindikali, utesaji wa raia na utupiaji mabomu katika mikusanyiko ya watu yanayouwa polisi wetu huwa kaput!
Utaalamu wa hayo hawana pamoja kwamba kuna wasomi...
Bila ya hao mapoliccm -- CCM haina kitu kabisa!!!! CCM kwishney. Pamoja na ishu ya zitto wanayoikuza, CCM wameiona nguvu ya dola!!
kama mna ubavu CCM acheni kutumia mapoliccm tuone. Kila saa mbeleko tu!!!
Kwa nini JK akiwa majukwaani au kwenye hafla huwa hazungumzii ufisadi kwa namna ya kukemea na kusema ni tatizo linalohatarisha amani ya nchi?
Nakumbuka mara ya mwisho JK kuzungumzia ufisadi ni Bungeni Dodoma, mapoema August 2008 wakati wa suala la wizi wa EPA lilivyoshika kasi. Hata baada ya...
Kwa wao CCM huwa hawataki mwingine apambane na mwenyekiti aliyopo kitini (incumbent) hadi yeye mwenyewe atake kung'atuka, lakini katika vyama vingine maCCM husisitiza sana hilo lifanyika. Ama kweli nyani haoni.....
Pambaff hawa Maccm.
Zito na wapambe wake wanapaswa kulielewa hili kuhusu uendeshaji wa chama cha siasa.
Uendeshaji wa chama cha siasa una changamoto nyingi. Kikubwa ni uongozi bora na fedha. Vyote viwili vinachangia kukuza na kuimarisha chama.
Uongozi uko namna mbili – kuna wale wnaokiuza chama...

Uongozi uko namna mbili kuna wale wnaokiuza chama kutokana...
Zito na wapambe wake wanapaswa kulielewa hili kuhusu uendeshaji wa chama cha siasa.
Uendeshaji wa chama cha siasa una changamoto nyingi. Kikubwa ni uongozi bora na fedha. Vyote viwili vinachangia kukuza na kuimarisha chama.
Uongozi uko namna mbili – kuna wale wnaokiuza chama...
Zito na wapambe wake wanapaswa kulielewa hili kuhusu uendeshaji wa chama cha siasa.
Uendeshaji wa chama cha siasa una changamoto nyingi. Kikubwa ni uongozi bora na fedha. Vyote viwili vinachangia kukuza na kuimarisha chama.
Uongozi uko namna mbili kuna wale wnaokiuza chama...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.