Vipi JK hazungumzii ufisadi majukwaani? Kwake mimba za wanafunzi ni tatizo kubwa zaidi ya ufisadi?

Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Messages
5,410
Likes
26
Points
0
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2008
5,410 26 0
[FONT=&quot] [/FONT]
[FONT=&quot]Kwa nini JK akiwa majukwaani au kwenye hafla huwa hazungumzii ufisadi kwa namna ya kukemea na kusema ni tatizo linalohatarisha amani ya nchi?[/FONT]

[FONT=&quot]
Nakumbuka mara ya mwisho JK kuzungumzia ufisadi ni Bungeni Dodoma, mapoema August 2008 wakati wa suala la wizi wa EPA lilivyoshika kasi. Hata baada ya hiyo hajawahi kamwe kulirejea suala hilo, lilifikia wapi, iwapo kumetokea mafanikio nk. Hajawahi hata kutamka neno “EPA” katika hotuba yake yoyote baada 2008.[/FONT]

[FONT=&quot]
Leo hii JK amenukuliwa na vyombo vita habari akikemea kwa nguvu zake zote tabia ya baadhi ya wananchi kuwaoa wanafunzi wa shule, na kwamba hawa wakamatwe mara moja na kufunguliwa mashitaka ya kubaka! [/FONT]

[FONT=&quot]Laiti JK angekuwa anakerwa sana na ufisadi kwa namna hii, tungepiga hatua kubwa katika vita hiyo.[/FONT]
[FONT=&quot]
Hata hivyo inavyonekana JK hajui tofauti kati ya kubaka na kumwingilia mwanamke chini ya umri![/FONT]

[FONT=&quot]Kumwingilia mwanafunzi chini ya umri kwa namna hiyo ya kumuoa mwanafunzi siyo kubaka. Hili ni kosa jingine na halihitaji ‘consent’. Na kubaka pia anaweza kufanyiwa mwanamke mwenye umri mkubwa.[/FONT]
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
20,900
Likes
10,116
Points
280
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
20,900 10,116 280
mhhhhhhhh loading,nilidhani suala la ufisadi linahitaji utekelezaji zaidi ya maneno matupu jukwaani?
 
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Messages
5,410
Likes
26
Points
0
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2008
5,410 26 0
[FONT=&amp]Kwa nini JK akiwa majukwaani au kwenye hafla huwa hazungumzii ufisadi kwa namna ya kukemea na kusema ni tatizo linalohatarisha amani ya nchi?[/FONT]

[FONT=&amp]
Nakumbuka mara ya mwisho JK kuzungumzia ufisadi ni Bungeni Dodoma, mapoema August 2008 wakati wa suala la wizi wa EPA lilivyoshika kasi. Hata baada ya hiyo hajawahi kamwe kulirejea suala hilo, lilifikia wapi, iwapo kumetokea mafanikio nk. Hajawahi hata kutamka neno "EPA" katika hotuba yake yoyote baada 2008.[/FONT]

[FONT=&amp]
Leo hii JK amenukuliwa na vyombo vita habari akikemea kwa nguvu zake zote tabia ya baadhi ya wananchi kuwaoa wanafunzi wa shule, na kwamba hawa wakamatwe mara moja na kufunguliwa mashitaka ya kubaka! [/FONT]

[FONT=&amp]Laiti JK angekuwa anakerwa sana na ufisadi kwa namna hii, tungepiga hatua kubwa katika vita hiyo.[/FONT]
[FONT=&amp]
Hata hivyo inavyonekana JK hajui tofauti kati ya kubaka na kumwingilia mwanamke chini ya umri![/FONT]

[FONT=&amp]Kumwingilia mwanafunzi chini ya umri kwa namna hiyo ya kumuoa mwanafunzi siyo kubaka. Hili ni kosa jingine na halihitaji ‘consent'. Na kubaka pia anaweza kufanyiwa mwanamke mwenye umri mkubwa.[/FONT]
Kwenye red: Huyu si aliwahi kusema kwamba wanafunzi wanaopata mimba ni kutokana naviherehere vyao? Au siyo yeye aliyesema?
 
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
16,178
Likes
3,964
Points
280
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
16,178 3,964 280
Yeye naye si tunda la mti uleule sasa atasemaje mti huo matunda yake mabaya?
 
Songoro

Songoro

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2009
Messages
4,129
Likes
50
Points
0
Songoro

Songoro

JF-Expert Member
Joined May 27, 2009
4,129 50 0
[FONT=&amp]Kwa nini JK akiwa majukwaani au kwenye hafla huwa hazungumzii ufisadi kwa namna ya kukemea na kusema ni tatizo linalohatarisha amani ya nchi?[/FONT]

[FONT=&amp]
Nakumbuka mara ya mwisho JK kuzungumzia ufisadi ni Bungeni Dodoma, mapoema August 2008 wakati wa suala la wizi wa EPA lilivyoshika kasi. Hata baada ya hiyo hajawahi kamwe kulirejea suala hilo, lilifikia wapi, iwapo kumetokea mafanikio nk. Hajawahi hata kutamka neno "EPA" katika hotuba yake yoyote baada 2008.[/FONT]

[FONT=&amp]
Leo hii JK amenukuliwa na vyombo vita habari akikemea kwa nguvu zake zote tabia ya baadhi ya wananchi kuwaoa wanafunzi wa shule, na kwamba hawa wakamatwe mara moja na kufunguliwa mashitaka ya kubaka! [/FONT]

[FONT=&amp]Laiti JK angekuwa anakerwa sana na ufisadi kwa namna hii, tungepiga hatua kubwa katika vita hiyo.[/FONT]
[FONT=&amp]
Hata hivyo inavyonekana JK hajui tofauti kati ya kubaka na kumwingilia mwanamke chini ya umri![/FONT]

[FONT=&amp]Kumwingilia mwanafunzi chini ya umri kwa namna hiyo ya kumuoa mwanafunzi siyo kubaka. Hili ni kosa jingine na halihitaji ‘consent'. Na kubaka pia anaweza kufanyiwa mwanamke mwenye umri mkubwa.[/FONT]
Kasome Vizuri sheria ya Ubakaji uje kumkosoa Mh. Rais, Sio kila Mtu aanzishe Thread wengine inatosha kuchangia za wengine. Kuhusu Suala la Ufisadi pengine leo ndo umefika kwewnye Access yA HABAR.
 
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
33,822
Likes
13,894
Points
280
Age
35
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
33,822 13,894 280
vita ya ufisadi ni zaidi ya kauli ya Rais. kila mmoja wetu akikemea na kuchukua hatua, hali itabadilika. haiyumkini Dr Slaa mathalan anajikopesha milioni 180 fedha za ruzuku kujengea nyumba. haiyumkini Mbowe anaiba fedha za chama na kununua majumba ya kifahari huko Dubai halafu wafuasi wake wanampigia makofi tu. huu ni uhayawani wa hali ya juu
 
Chris Lukosi

Chris Lukosi

Tanzanite Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
4,586
Likes
34
Points
145
Chris Lukosi

Chris Lukosi

Tanzanite Member
Joined Aug 23, 2012
4,586 34 145
Ufisadi ni singo ya Dr Slaa iliyochuja.

Vipi tayari mmeishachakachua mahesabu ya ruzuku?
 
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Messages
5,410
Likes
26
Points
0
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2008
5,410 26 0
Yeye naye si tunda la mti uleule sasa atasemaje mti huo matunda yake mabaya?
Tehe tehe tehe ..... yeah tunda lile lile la mti uitwao EPA! Kweli tuna raisi!!!!
 
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Messages
5,410
Likes
26
Points
0
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2008
5,410 26 0
Siku akizungumzia ufisadi majukwaani siku ya pili yake jua litachomoza magharibi na kulelekea mashariki! Hana ubavu dogo huyo!
 
Ngisibara

Ngisibara

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2009
Messages
2,312
Likes
639
Points
280
Ngisibara

Ngisibara

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2009
2,312 639 280
Ufisadi ni singo ya Dr Slaa iliyochuja.

Vipi tayari mmeishachakachua mahesabu ya ruzuku?
Vipi tayari mmeshampeleka mahakamani mbakaji mheshimiwa wenu Kapuya ? au hamuwezi kukata tawi kwani mmekalia juu yake?
 
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
1,339
Likes
5
Points
0
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
1,339 5 0
Ufisadi ni singo ya Dr Slaa iliyochuja.

Vipi tayari mmeishachakachua mahesabu ya ruzuku?

Vipi kale ka mchezo ka kujivua Gamba kaliishia wapi Mkuu. Make bila Kumtaja Dr. Slaa hulipwi Buku 7 zako. Tuambieni kuhusu:-
1. Mikataba mibovu
2. Kushuka kwa Elimu na kuongezeka kwa Division V
3. Mbio za Urais 2015
4. Utajiri wa Dogo alitishia kuwashtaki CHADEMA ndani ya siku 7 hazijaisha tu?
5. Vipi Biashara ya Menno ya Tembo na madawa ya kulevya washashtakiwa wangapi?
Unasemaje kuhamisha Twiga wetu kwenda Qatar?
6. Hivi ninyi mlishapewa ripoti ya wataalamu wa Inteligensia kuhusu sakata la Olasiti na Mkutano wa CHADEMA Arusha.
7. Vipi kauli za kuwataka watanzania kutumia koroboi na wengine wakauze Juice ili wawekezaji wapore raslimali zetu za asili ndo Maisha bora kwa kila Mtanzania hayo?
8. Je safari ingine ya majuu ni lini make naona kimya sasa Mkuu
 
omujubi

omujubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Messages
4,143
Likes
83
Points
145
omujubi

omujubi

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2011
4,143 83 145
Hajaambiwa bado!

Si unasikia katika hotuba zake mara nyingi anasema "nimeambiwa", "nimesikia" nk. Tuombe Mungu labda huu muda aliobakisha apate muda wa kukaa ofisini kwake na kuyaona mambo mengi ya nchi mwenyewe badala ya 'kuambiwa' na hapo ataweza kuuona ufisadi uliokithiri.
 
M

mshunami

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2013
Messages
3,809
Likes
462
Points
180
M

mshunami

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2013
3,809 462 180
Kama ana uchungu sana na wanaobakwa, yeye kama steringi wa hili dola anasemaje kuhusu ubakaji wa yatima uliofanywa na Kapuya? Au ndo hivyo katoa maagizo kuwa vyombo vya hili dola vimshughulikie?
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,151
Likes
1,773
Points
280
Age
48
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,151 1,773 280
ufisadi wa jukwaani upo chadema ambao hufanywa na viongozi wake kwa kuchangisha hele wanachi wao wanafaidi wao na familia.
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,151
Likes
1,773
Points
280
Age
48
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,151 1,773 280
Kama ana uchungu sana na wanaobakwa, yeye kama steringi wa hili dola anasemaje kuhusu ubakaji wa yatima uliofanywa na Kapuya? Au ndo hivyo katoa maagizo kuwa vyombo vya hili dola vimshughulikie?
sasa ubakaji kama wa lema unafanyaje kama ingekuwa ni wewe.
 
Ikengya

Ikengya

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Messages
615
Likes
51
Points
45
Ikengya

Ikengya

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2013
615 51 45
Atajikuta anataja na mwanae sasa ni bora aache upepom huo upite
 
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,181
Likes
894
Points
280
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,181 894 280
wanafunzi wanapata mimba kwa viherehere vyao by kikwete kiongozi wa mafisadi
 
M

MOSSAD II

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2013
Messages
3,974
Likes
18
Points
135
M

MOSSAD II

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2013
3,974 18 135
vita ya ufisadi ni zaidi ya kauli ya Rais. kila mmoja wetu akikemea na kuchukua hatua, hali itabadilika. haiyumkini Dr Slaa mathalan anajikopesha milioni 180 fedha za ruzuku kujengea nyumba. haiyumkini Mbowe anaiba fedha za chama na kununua majumba ya kifahari huko Dubai halafu wafuasi wake wanampigia makofi tu. huu ni uhayawani wa hali ya juu
na rais ni fisadi hivyo hawezi kukemea mafisadi wenzake wakamuelewa!
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,151
Likes
1,773
Points
280
Age
48
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,151 1,773 280
ufisadi mimi umejaa chadema sasa ni ufisadi wa madaraka na kubadili katiibA chama kwa malengo ya kutawla milele.
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,151
Likes
1,773
Points
280
Age
48
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,151 1,773 280
na rais ni fisadi hivyo hawezi kukemea mafisadi wenzake wakamuelewa!
jk hausiki na ufisadi wa wake za watu mwambie mzee wenu anayookota wake za watu adhabu yake ni kwa mungu baba.
 
Forum statistics

Threads 1,252,098
Members 481,989
Posts 29,795,303