Polisi wetu wana uwezo wa kuonyesha ubabe kuliko kuchunguza matukio ya vifo, utesaji wa raia nk

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Hicho ndicho wanachokijua kwa sababu hakuna haja ya kutumia akili au busara. Lakini inapokuja kuchunguza matukio ya vifo, umwagiaji tindikali, utesaji wa raia na utupiaji mabomu katika mikusanyiko ya watu yanayouwa polisi wetu huwa kaput!

Utaalamu wa hayo hawana pamoja kwamba kuna wasomi katika jeshi hilo!
 
Hapa sio mahala pake!
 
Maelezo haya unatakiwa ukayatoe kwa daktari wako.

Huu ugonjwa ulio nao mbona unatibika kirahisi tu,....
 
Namuunga mkono mtoa mada. kingine wanachoweza ni kubambikizia watu kesi zisizo na vichwa wala miguu, na baadaye kuaibika mahakamani baada ya kesi kutupiliwa mbali.
 
Naunga mkono hoja,hawafanyi kazi kwa weledi,wao raia ni adui kwao na hawawachukulii kama waajiri wao,kila mtu humuona kama jambazi ukiwa na hela za rushwa wewe ndo rafiki yao!,yani inatapisha kwa kweli
 
what we have is A unproffessional police force.
wanawaogopa wahalifu na kuwaonea raia wema. mkiniambia papa mmoja wa madawa ya kulevya aliye jela nitalizawadia hili jeshi
 
Namuunga mkono mtoa mada. kingine wanachoweza ni kubambikizia watu kesi zisizo na vichwa wala miguu, na baadaye kuaibika mahakamani baada ya kesi kutupiliwa mbali.

yupi sasa......mbona mtoa mada ni wewe............
 
Namuunga mkono mtoa mada. kingine wanachoweza ni kubambikizia watu kesi zisizo na vichwa wala miguu, na baadaye kuaibika mahakamani baada ya kesi kutupiliwa mbali.

acha pombe sio nzuri mkuu...mtoa mada ni ww alafu unasema unamuunga mkono mtoa mada vipi leo wamekuchanganyia na mkojo?
 
Back
Top Bottom