Asante Huoni nimejifunza Sasa utaratibu ulivyo ,, hata Mwalim wangu alinifundishaga kwamba ukitaka kujifunza jaribu. Kitu flani mbele ya wakubwa.....kwa kua wakubwa wana busara zao watakukosoa na kukuelekeza na hyo in njia ya kujifunza ,,,,,,,,, asanteeee
TANGAZO TANGAZO
Nasaidia kufanya usajiri wa vyuo vikuu. Kwani utaratibu umebadilika watu wanafanya application kwa kufika CHUO husika na kuchukua form,,,, ili kuepuka usumbufu nawasaidia wanafunzi. Wataohitaji kujiunga na ECKERNFORDE TANGA UNIVRESITY...kwa mawasiliano zaidi.....(...
Pole sana ndugu yangu...muache. Kama yupo miaka 35 kwenda juu usimlaum. Yupo barekh ya pili,,,kama yupo 45 ujue yupo. Barekh ya 3 na unajua adolescence in maji ya moto kua na subira muyamalize kuachana syo poa sana.
Jamani habari za asubuhi,,, MSAADA jamani maisha mgumu baada ya kumaliza CHUO cha nursing. Nikaa tu cjaajiliwa ujuzi wangu utapotea nisaidieni. Nafasi ya ajira jamani hata ya kuuza duka LA madawa au kituo cha Afya ,,cha serikari au binafsi..... Kwa mawasiliano nicheki APA ..nipo tayari...
Jamani habari zenu ,,,,,Aliye Tanga jamani natafuta kiwanja cha biashara size ya kawaida tu,,,ya kutosha fremu kama 2 kwa mawasiliano ,,,,,nicheki hapa. 0719440 683
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.