Kitengo cha clearing bado kipo na ofisi zao ziko Kilwa Road Bendera 3 kwenye majengo ya Bandari. Alichopunguziwa ni idadi ya bidhaa za kugomboa ambapo kwa sasa anagomboa aina ya bidhaa kama mbili ivi, silaha na vilipuzi (arms & ammunation) pamoja na nyara za Serikali.
"Kwa huduma za ugomboaji...
Ni kweli kabisa mkuu hii imekua ni changamoto kubwa kwa mawakala tulio wengi. Tumechukua contacts zako kwa ajili ya kuwasiliana na wewe.
Kwa huduma za ugomboaji (Clearing & Forwarding), karibu Ruaha Freight Ltd, kampuni yenye leseni ya Uwakala wa Forodha kutoka TRA. Tunafanya kazi kwa ufanisi...
Bei hizo ni CIF/CFR price, yaani ni bei mpaka inafika Bandari ya Dar es Salaam
Gharama zingine ni kama ifuatavyo;
Touareg ya Mwaka 2004:Taxes: 12,690,522.24 (As per TRA calculator)
Other Clearance Costs at Dar Port;
1. Clearance Agency fee TZS. 250,000/=
2. Port/ICD charges TZS. 405,000/=
3...
Kwa kuwa kadi inasoma "Private/Normal" ina maana kuwa gari haikua inafanya shughuli za kibiasharahivyo haiwezi kuwa ina deni. Ili kubadirisha umiliki nyaraka zifuatazo zipatikane
Kodi zifuatazo hutozwa kwenye magari yanayoingia nchini;
1. Ushuru wa forodha (Import Duty): asilimia 25% ya thamani ya kununulia gari (CIF Value)
2. Ushuru wa bidhaa (Excise Duty due to CC-EX): asilimia 0%, 5% & 10% kutegemea na ukubwa engine (chini ya 1000cc= 0%, cc 1000 mpaka 1,999=5% & cc...
Agent mwaminifu, huduma bora na ufanisi napatikana kwa anuanu ifuatayo;
Ruaha Freight Ltd,
Umati building 3rd Floor, Room No 18 Samora Avenue / zanaki street Dar es Salaam. P.O.Box 62442
Dar es Salaam.
Email: info@ruahafreight.com
Website: www.ruahafreight.com
Tel: +255222128447
Mob: +255718...
Japo ni mada ya mda mrefu kidogo around end of June, 2023, nimepitia majibu sijaona jibu la ufasaha.
Iko hivi mkuu, ushuru wa bidhaa (Excise Duty) ambao awali ulikua unatozwa kwa asilimia 5 mpaka 10 kutegemea ukubwa wa engine kwa magari yanayotumia umeme na gas, kuanzia July Mosi, 2023 yalianza...
Kwanza kabisa hutaweza kupata msamaha wa gari yako ya pili mpaka utakapofuta msamaha wa gari yako ya kwanza aina ya RAV4 uliyoingiza nchini mwaka 2008. Msamaha wako utakuwa umefutwa pindi utakapo ilipia ushuru na kupata kadi ya mpya ambayo itakuwa haina neno "IMPORTY DUTY EXEMPTION".
Kodi...
Mara zote katika nyuzi mbalimbali kuhusiana na masuala ya Bandari hua nasema kuwa TPA wanapaswa kuongeza ufanisi kwenye eneo la upakuaji na upakiaji shehena, kuboresha huduma kwa wateja (customer care). Lakini pia Serikali kupuguza vikwazo vya barabarani, kiforodha na kuondoa msongamano kwenye...
Nimeongeza maarifa makubwa juu ya Bandari yetu ya DSM. Pamoja na mradi wa DMGP kuleta faida kubwa ya kuongezeka kwa Meli na shehena. Rai yangu kwa Mamlaka ya Bandari (TPA) waongeze ufanisi, vifaa na mashine za kupakia na kupakua shehena.
Kwa huduma ya Clearing & Forwarding kwa mizigo aina yote...
Uwepo wa meli nyingi katika Bandari ya Dar es Salaam ni neema kubwa kwa uchumi wa nchi. Rai yangu kwa TPA waongeze ufanisi, vifaa na mashine za kupakia na kupakua shehena.
Kwa huduma ya Clearing & Forwarding kwa mizigo aina yote, karibu Ruaha Freight Ltd,
Wasiliana nasi;
Ruaha Freight Ltd...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.