Kwa utafiti wangu mdogo, wazee wengi walikuwa waajiriwa ndio sahizi wanakula kiinua mgongo wachache sana walioamua kujiajili na kuanzisha biashara zao ,wengi walikuwa waoga sababu ya ujamaa kwamba mfumo haukuwaruhusu sahizi wanaishia kutoa vitisho tu,maarifa ya ulimwengu hawana, vijana sahivi...
Kupata wenye IQ kubwa hili taifa tusahau,wew unakula nusu kilo yote ya nini mwilini,ukitaka kuwa timamu dhibiti unachokula haijarishi maana kinachozidi tu mwilini kinahifadhiwa kama uchafu wa awali, wale wa visinia endeleeni tu
Mababu zetu walitumia njia gani kupata mafanikio kabla ya dini,? viongozi wa dini wanafungaje wapate mafanikio bila kutegemea sadaka za wahumini wanaoenda kutoa jasho na muda wao kupata fedha.
Sheria inasema huwezi kupata ambacho huna,ukimwambia huna unapungukiwa na nini,kuwa na wewe muigizaji igiza unaumwa uone na yeye atakupatia kidogo hela maana natumaini yeye sio mlemavu anaweza kufanya kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.