Recent content by Yuzhonai

  1. Yuzhonai

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ziwasaidie watumishi waliohama kuhamishia taarifa zao walikohamia

    Tamisemi wanazingua sana kuhamisha mshahara.. mimi toka mwaka jana hadi leo hawajahamisha, ukienda ofisini kwao wanasema nisuburi tu watahamisha, wakati nashindwa kujaza taarifa ess. [emoji849]
  2. Yuzhonai

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kipindi cha Michezo Kipya cha Usiku cha E-Sports cha EFM Radio Kudoda mapema sasa wamekuja na Ahadi ya Kugawa Pesa ili Kisikilizwe

    Sema wale wote waduanzi tu, hata huyo jemedar na na oluma hamna kitu zaidi ya kuendekeza hisia zao badala ya profession. Kidogo Geoff na Maestro. Mi nilishaacha kusikiliza efm sababu ya unazi wao usio na msingi
  3. Yuzhonai

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mzigo kusafirishwa kutoka Ali Express

    Vuta subira ukishafika posta au speedaf watakupigia simu au watakutext uende ukachukua
  4. Yuzhonai

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Kioo cha mbele cha nadia bei gani, na wamikoani unatuma mwenyewe au inabidi kufata huko.
  5. Yuzhonai

    JamiiForums Tanzania Nilitamani kuyajua haya - Ajira Mradi wa Bwawa la Umeme la Nyerere (Part - III)

    Aisee huko mbona mtihani sana
  6. Yuzhonai

    JamiiForums Tanzania Kama kuna Mtumishi wa Umma anafikiri kuwa nyongeza ya 23% atapata kuanzia laki basi ajue anajidanganya sana

    Hakuna unalolijua bora ungekaa kimya tu mkuu
  7. Yuzhonai

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba Dodoma

    Hata kisasa hawauzi bei hiyo, we nala huko utamuuzia nani kwa hiyo bei?
  8. Yuzhonai

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    sawa mkuu ntakutumia picha.. naomba kujua na MASTER WINDOW SWITCH ya corolla 110 unauzaje?
  9. Yuzhonai

    JamiiForums Tanzania Tunazo betri mpya zinaitwa TNT ni dry cell tunazo size zote ni nzuri

    n40 unauzaje boss... na gharama ya kutuma hadi dodoma ni bei gani?
  10. Yuzhonai

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    mkuu hiyo ni bei ya shoo pekeyake au na dashboard? mi nntaka tu shoo peke yake.
  11. Yuzhonai

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    carina si boss
  12. Yuzhonai

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    mkuu una show ya dashboard ya carina? bei gani?
Back
Top Bottom