Recent content by yuyu shafrael

  1. yuyu shafrael

    Naomba kujuzwa dawa ya sikio

    Its true ni mwaka wa saba sasa toka nipate hii tiba sijasumbuliwa na sikio tena
  2. yuyu shafrael

    Msaada: Nina presha 162/103 umri wangu miaka 33. Je, nianze dawa au nibadilishe lifestyle?

    Rudia kupima hio blood pressure hata mara tatu kwa siku hio hio moja ila pishanisha masaa..angalia kama bado inasoma kua ipo juu kama bado ipo juu nenda hospitali ya jirani uonane na muuguzi kwa ushauri zaidi huku ukianza kubadilisha mfumo wa maisha kuanzia lishe mazoezi na kupunguza chumvi...
  3. yuyu shafrael

    St.Joseph college of health science(boko campus) tujuzane mambo mbalimbali

    Sio kweli Unaongelea kile cha engineering Medicine wanachukua kama kawaida Sent using Jamii Forums mobile app
  4. yuyu shafrael

    HESLB: Kuanzia mwaka huu wa masomo, wanufaika wote wa mikopo watakopeshwa kulingana na uwezo wao

    Kwa anaetaka kuona kama kawa allocated msiingilie website ya HESLB tumia website ya OLAMS nenda home page utakuta kuna maelekezo ya jinsi ya kuona kama upo allocated au la na utasubiri I guess lot 2 na muendelezo wake kama ilivyoo hapo kwenye attachment utainingiza number ya form four then na...
  5. yuyu shafrael

    HESLB: Kuanzia mwaka huu wa masomo, wanufaika wote wa mikopo watakopeshwa kulingana na uwezo wao

    Alafu wamesema wanatoa kutokana na uwezo kuanzia wale wa juu kabisa mpaka chini ina maanisha uwezo wa ufaulu au uwezo wa kifedha
  6. yuyu shafrael

    Naombeni msaada wa dawa ya Kichefuchefu

    Mimi binafsi nina ulcers na hii hali hutokea mara kwa mara nenda hospital kapime hao H.Pylori upate tiba.And get well soon
  7. yuyu shafrael

    Walimu tunanyanyaswa sana

    Acha kusomea ualimu fanya biashara
  8. yuyu shafrael

    Walimu tunanyanyaswa sana

    Wacha ifukuzwe tu ni wauaji hawa wengine..hamna walimu hawasikilizwi wala nini walimu wanatakiwa kuwa wazazi wa pili ila siku hizi wakikosa wanachotaka kusomea wanakimbilia ualimu kupata mikopo na kuwapiga watoto wa watu kama wanyama fimbo zinaruhisiwa ila angalia unapo mpiga huyo mtoto.Kwa...
  9. yuyu shafrael

    Waliochaguliwa ST. Jose college of health tukutane hapa

    Mh sifahamu ila ukipata watakutafuta tu Mimi nilipata round one
  10. yuyu shafrael

    Waliochaguliwa ST. Jose college of health tukutane hapa

    Ndio kwanza sms Pili utatumiwa email toka kwao Tatu they may call you
  11. yuyu shafrael

    IRINGA UNIVERSITY WASALITI.

    I guess amefungua wazazi macho waone ni nini watoto wao wanapitia huko mashuleni kwao.Tena believe me hiyo ni robo ya mambo ambayo baadhi ya shule zetu za mageti meusi hutufanyia sisi wanafunzi ni unyanyasaji wa hali ya juu sisi shuleni back in the days unapigwa na walimu wa kiume kama tano wote...
  12. yuyu shafrael

    Waliochaguliwa st Joseph college of health science

    Cha laki kipo katika condition ipi
  13. yuyu shafrael

    Waliochaguliwa st Joseph college of health science

    Chumba cha self contained karibu na chuo like 5 minutes walk ni sh ngapii hapo services na maji na electricity viwe vizuri
Back
Top Bottom