IRINGA UNIVERSITY WASALITI.

IRINGA UNIVERSITY WASALITI.

Mkuu wewe alshabab au boko haram?
Sijatetea kipigo, lakini kama mwanachuo, huyo dada alipaswa kuchukua hatua na si kuisambaza kwani inaonekana hata yeye hakuwa na nia ya dhati ya kusaidia zaidi ya kupublicize tu.
 
Achen kussuport ule upumbav uon mpaka serikal imeingilia Kat.
Wanafunz wa udsm wana matatzo sana. Kama unaweza kumpiga mtoto wa mwenzako vilee duuu ule n unyama.
Shule kama ipo Somalia.
Wanafunz wa uteacher udsm shame to you
We nayee.....Kwa hiyo wanafunzi wote wa udsm ndo wamefanya vile? jifunze kuongea point nzuri
 
Tukisema vyuo vikuu vinavyojitambua vip DAR NA MORO TU mnapinga, IPO SIKU MTAKUBALI!!,.
khaa wee jamaa wewe yan kupiga vile mtoto ndo kujielewa!?,you can't be serious kama kujielewa kwa wanafunz wa UD ni kupiga vile endeleen kujielewa wenyewe mtuache wa iringa tusiojielewa
 
Na Wana jamvi
Wale dot com generation kama wewe hamuwezi nielewa, but ukweli ni kuwa sikubaliani na adhabu za namna hii kwa sababu jamii ya leo si ya enzi zile, lakini pia wenyekuchukua maamuzi yapasa wawe makini kwa sababu tuliowengi hatujui mazingira na tabia za mwanafunzi huyo kule shuleni mbali na hili lililomkuta, je kama walimu wataona uamuzi umekaa kisiasa zaidi watafanya kazi kwa moyo uleule hasahasa anapokuja kuguswa mkuu wa shule.

Nb. Adhabu kama hizi zilikuwepo na zingine zaidi ya hizo faida ya kizazi cha leo kuna wassup na Facebook wanaweza peleke malalamiko yao wengine hatukuwa na pa kupeleka na hata tulipopeleka hatukusikilizwa.
 
khaa wee jamaa wewe yan kupiga vile mtoto ndo kujielewa!?,you can't be serious kama kujielewa kwa wanafunz wa UD ni kupiga vile endeleen kujielewa wenyewe mtuache wa iringa tusiojielewa
Ajui alitendalo uyo msomalia uyo kahamia tz
 
Apo sasa umeeleweka be specific mkuu
 
Natafakari sana jinsi Hmaster, Viongoz wa Shule, Walimu, Wanafunzi, wazaz, familia za Wahanga waliotumbuliwa kwa tukio la Kupigwa mwanafunzi lililorekodiwa na Mwanafunzi wa Iringa University aliyekuwa Field pale Mbeya Day Sec, Je huyu Haule na Chuo chake Cha Iringa Varcity leo wamejiskiaje??? Huu usaliti na Ushamba wa Vi techno vya kichina kurekodi kila kitu kumewaponza maisha wenzake. Iringa University imevaa sura ya Usaliti, Uvunjifu wa maadili ya Kitaaluma, kutokuwa wasiri nk. Najiuliza mwakani Wanafunzi wenu wakikosa FIELD ATTACHMENT mtalalamika?? Tubuni hiii dhambi ya Usaliti itawatafuna.
I guess amefungua wazazi macho waone ni nini watoto wao wanapitia huko mashuleni kwao.Tena believe me hiyo ni robo ya mambo ambayo baadhi ya shule zetu za mageti meusi hutufanyia sisi wanafunzi ni unyanyasaji wa hali ya juu sisi shuleni back in the days unapigwa na walimu wa kiume kama tano wote fimbo 20 kwepa unaipata popote hapo umeingizwa kwenye tairi ndani ya staffroom this was done mostly to boys msichana ukitoka hapo mikono ni ya kijani and no one cared.Walimu msilalamike kuwa huyu aliyeanika hii video kakiuka maadili ya kazi na nyie pia muuvae utu at a certain point kama ualimu haukuwa wito basi do it for the money msimalizie stress zenu kwa watoto wa watu.
 
khaa wee jamaa wewe yan kupiga vile mtoto ndo kujielewa!?,you can't be serious kama kujielewa kwa wanafunz wa UD ni kupiga vile endeleen kujielewa wenyewe mtuache wa iringa tusiojielewa
Mkuu nimetengua kauli!!!..
 
Jifarijin tuuu, lakin field attachment mtazitafuta kwa tochi. Mtaaminiwa na nani kuwashirikisha kwenye mambo nyeti na yaliyo ya siri kwenye taasisi, nyie ndio mnapiga picha barua za siri na kuziweka kwenye social media. Ipo siku askari atarekodi mfungwa anavyonyongwa mtatoka mapovu pia. Huyu kavunja Miiko ya maadili ya kazi
 
Huyo alierekodi ndo hana taaluma ya ualimu,coz ataendelea kupga pic za adhabu za shuleni
 
Ameisaidia katika lipi kwa kuumiza wengine? Unafikiri pale shuleni muda huu panakalika akili ndogo tu. Angekuwa na mapenzi mema si angempelekea hiyo video mkuu wa shule… hata huyo mwanafunzi anamtatizo yake
Ukiona lile tukio limetokea ujue sio mara ya kwanza kutokea.
Inamana mwalimu Mkuu alikua anafumbia macho cku nying.
Unafkr yule alipelekwa field kwaajil kupga wanafunz.
Ebu jiangalie ww
 
Back
Top Bottom