Naombeni msaada wa dawa ya Kichefuchefu

Ukiwa umekaa sugua kwapa la kulia na mkono wa kushoto.kisha wavkulia kwapa la kushoto mkono wa kulia.kila umalizapo mkono unuse
Ni kweli, mimi hunisaidia sana, hata kwa kunusa kwapa bila kusugua na mikono, kichefuchefu huwezi kujisikia tena kwa wakati huo.
 
Dawa ya kichefuchefu nusa tu harufu ya kikwapa dakika moja kikwapa chako njoo utupe mrejesho mm ndo dawa nayotumia nikipata hilo tatizo na hata wazee wa zaman ndo ilikua dawa yao hio
 
Naijisikia hali ya kichefuchefu pindi nikishamaliza kula chakula,nimeshatumia dawa mbali mbali za hospitali ikiwemo za minyoo lakini bado,.Mimi ni wakiume.Naombeni maoni.Hali hii inanitesa siwezi Fanya kazi.
Ni hali ya kawaida tu ndugu, unajua vyakula vingi tunavyokula kwa sasa vinasukari nyingi kitu ambacho husababisha kuwepo kwa nyongo nyingi mwilini kuliko maitaji, chemsha majani ya mwarobaini ujitapishe kutoa nyongo itaisha hiyo hali mara moja kiongozi wangu
 
Okey,nitafanya hivyo teacher.
 
Dawa ya kichefuchefu nusa tu harufu ya kikwapa dakika moja kikwapa chako njoo utupe mrejesho mm ndo dawa nayotumia nikipata hilo tatizo na hata wazee wa zaman ndo ilikua dawa yao hio
Inabidi nijaribu hii sawa,nashkuru sana.
 
Naijisikia hali ya kichefuchefu pindi nikishamaliza kula chakula,nimeshatumia dawa mbali mbali za hospitali ikiwemo za minyoo lakini bado,.Mimi ni wakiume.Naombeni maoni.Hali hii inanitesa siwezi Fanya kazi.
Mimi binafsi nina ulcers na hii hali hutokea mara kwa mara nenda hospital kapime hao H.Pylori upate tiba.And get well soon
 
Mkuu nliambiwa kuwa Mara nyingi ukiskia kichefu chefu jaribu kunusa Kikwapa chako, kichefi chefu kitapotea ,na it really work kwangu Mimi, au nusu ganda la limaoo, ukiona kinazidi itakuwa ni alegii
 
Ukiwa umekaa sugua kwapa la kulia na mkono wa kushoto.kisha wavkulia kwapa la kushoto mkono wa kulia.kila umalizapo mkono unuse
Hii hata Mimi naijua huwa naitumia inasaidia sana.inatakiwa katikati ya kiganja baada ya kusugua kwapani.sio kwamba kusugua kwapani mpaka uvue nguo,Bali sugua hivyo hivyo hata bila kuvua nguo
 
Back
Top Bottom