Naomba kujuzwa dawa ya sikio

Nashkuru kaka kwa ushaur wako nadhan kitunguu maji ni rahis kukipata kuliko bange kwa mazingira ninayoishi kwaiyo wote mawazo yenu nitayafanyia kazi
Utupe mrejeshonyuma baada ya usiku wa leo kama utaweka
 
Wakati wa kulala weka kipande cha kitunguu maji sikioni. Kina uwezo wa kunyonya uchafu na bakteria zilizo ndani ya sikio.

NB: kulala chumbani na vipande vya kitunguu maji (kwenye kisahani) husaidia kuondoa bakteria zinaozoelea chumbani. Pia kina dawa ya kupambana na uvimbe kwa ufanisi wa kutuliza sikio lililoambukizwa, na kuruhusu mwili kupona bila ya "inflamation" na shinikizo la kusababisha maumivu.


Hicho kipande unakiwekaje sikioni mkuu ili kiondoe huo uchafu uliomo ndani kabisa ya sikio???---- hebu fafanua huo UCHAWI mkuu,🤔
 
Hicho kipande unakiwekaje sikioni mkuu ili kiondoe huo uchafu uliomo ndani kabisa ya sikio???---- hebu fafanua huo UCHAWI mkuu,
Kata kipande cha kitunguu maji ukubwa wa tundu lako la sikio. Unakitumbukiza kwa mfano wa "cotton swab", asubuhi unakichomoa
 
Hii dawa ninayo ni essential oil ya herb. Ni kwa watoto na watu wazima, na kama limeshaanza kutoa usaha basi unahitajika pia ya kunywa.
Ni nafuu na organic herbs. Unapoanza kutumia tu ndani ya dk 5 maumivu yanaisha na uaweza kutumia kwa mara tatu na ukacha kutumia na ukapona. Tuwasiliane kwa na 0687439333 hata kwa ushauri tu.
 
Kama Umeshatumia madawa ya Hospital kama Boric acid...Candibiotic ear drop na Ikashindikana Bhasi Hili ndo suluhisho lako... Mchuzi wa majani ya bhangi

Its true ni mwaka wa saba sasa toka nipate hii tiba sijasumbuliwa na sikio tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom