St.Joseph college of health science(boko campus) tujuzane mambo mbalimbali

Chuo kipo boko kama unaelekea bagamoyo mazingira yapo poa ila awana huduma ya hostel ivo itabid upange mtaani
 
Nenda kasome kwa bidii uelewe urudi mtaani kuikomboa jamii. Jitihada zako ni muhimu zaidi kuliko jina la chuo. Kuna waliosoma vyuo vyenye reputation ila bado ni maboksi kichwani. Akina Prof. Lipumba
 
Samahani wana jf kuna ndugu yangu yuko jkt lkn kanambia nimuangalizie kama kachaguliwa st john lkn sijajua niingilie wapi ili niweze pata njia rahisi ya kuona majina ya waliochaguliwa asanten sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu..
Ninaomba kwa yeyote anayekifahamu vizuri chuo cha afya St. Joseph kuhusu kiwango cha taaluma itolewayo na mazingira ya kuishi kiujumla. Nime-apply diploma in nursing pale.

Napenda kuwasilisha, hsanteni.
Karibu mkuu,na mm nasoma pale st joseph(boko),
Mazingira ni mazuri na pia ufundishaji mzuri na ni bora
Maabara za kutosha na makitaba ni nzuri kwa kujisomea na ina materials tofautitofauti about health .So karibu sana
Mambo mengine utajionea mwenyewe
Welcome

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada jamani kwa anejua chuo hiki cha afya kipo boko dsm je kina hostel na hospital pale? Naomben pie Na joining instruction mwenye nayo nitumie asanten
 
Jaman msaada anayejua mazingira ya st joseph boko dsm anipe mwanga kuhusu ada pia anieleweshe
Then je kuna
1. hostel
2.hospital ya mazoez
 
Back
Top Bottom