Hawo wanaojirikod siku zote huishiwa kuchezewa tuu nasio kuolewa mwanamke nikujheshimu kwasababu ni mila nadesturi zetu waafrica na sio kuiga mambo ambayo siyo yetu
Tuje kwa kuambwa adamu na hawa,hawa alijaribiwa na shetani msile hilo tunda lakati kati ya bustani kwahiyo wanawake niwazaifu kiroho na kiimani wakipata majaribu uwanguka napia wakidanganywa hupaniki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.