Mh. Spika kama sheria na kanuni za bunge zitaundwa kwa maslahi au manufaa ya mtu au chama ni hatari kwa mustakabali wa taifa letu ! Usiwagawe wabunge kwa misingi ya vyama vyao vya upinzani. Inawezekana kwa ukawa kushirikiana na Act bila ya kik ya ccm kwani wotelengo lao ni kuisimamia srikali...
Kama lengo lao ni kuhakikisha mh. -------- awe mwenyekiti basi hakuna haja ya kulumba na kuanza kurushiana vijembe na matusi , -------- apewe kamati zote aongoze ikibidi asaidiwe na wabunge wa ccm
Mleta mada elewa kwamba mh. Rais alikuwa analihutubia bunge kwa kuelezea mwelekeo na vipa umbele vya serikali yake kwamba hatafanya kazi kwa mazoea , kwa kueleza kwa uchache gharama ambazo kama taifa zinaweza kuepukwa ! Nimemkubali Rajs wetu ana hofu ya Mungu. Hapa kazi tu
Mh. Rais ameongea ukweli ! Hakupenda awe mnafiki kwa kuwafurahisha baadhi ya wanafiki waliomo serikalini. Wabadhilifu na majizi ya rasilimali na fedha za umma TINGATINGA hilo. Hapa kazi tuuuiiu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.