Recent content by Yusuph Hashim

  1. Yusuph Hashim

    Mashine ya kukatia Nyama inauzwa

    Bone see saw for sale EASY POWER....ITALIAN DESIGN BEI: MILLION MOJA( imetumika mwez mmoja tu) Napatkana Dar 0766775599 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Yusuph Hashim

    Biashara ya samaki

    Habar wakuu! Mwenye kujua taratibu za kupata vibali vya kufungua butcher la samaki na nyama. Naomba msaada, hasahasa kuhusu TFDA na TRA.
  3. Yusuph Hashim

    Inauma sana, wezi walaaniwe. Wamenirudisha nyuma sana

    Pole sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Yusuph Hashim

    Kununua ndege wakati wananchi wanakunywa matope kama maji ni aibu ya Taifa

    Fact.....siku ukiamua kufanya biashara, siku za mwanzoni unaweza kulaza familia njaa, coz your target ni kuimarisha biashara yako/zako. Same applies to Magu, kaanza na kuimarisha shirika la ndege, tusitegemee kupata matunda kipindi hiki hiki it will take time. Tunategemea utalii utaongezeka...
  5. Yusuph Hashim

    Unyonyaji unaofanywa na Diamond/WCB kwa wasanii hauna tofauti na ule wa Clouds na waliekuwa wanamtuhumu

    Hahahaha atakuwa form two huyu,,,,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. Yusuph Hashim

    Uzi wa namba

    15
  7. Yusuph Hashim

    Kununua ndege wakati wananchi wanakunywa matope kama maji ni aibu ya Taifa

    Kwa suala hili mimi namuunga mkono. Kuna wakati misaada kutoka nje itakata. Anachojaribu kufanya ni kutengeneza economic freedom.....midege itazalisha tutapata pesa ya kusambaza maji, ingawa itachukua muda kidogo. Ndege ni assets, as shirika likiendeshwa vizuri litaongeza pato la taifa.
  8. Yusuph Hashim

    Nimemaliza 'kamshahara' ka October 2019 ndani ya siku 2

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  9. Yusuph Hashim

    Nimemaliza 'kamshahara' ka October 2019 ndani ya siku 2

    Kuisha ndani ya siku 2 so tatizo, bali tatizo ni kama imemalizwa na mambo yasokuwa ya msingi. Mi nakumbuka niliwahi kumaliza hela yangu ya field ndani ya siku 1 [emoji23] lkn sikujuta maana hela yote ilitumika kuongeza assets ambazo zilikuja kunisaidia kwa baadae nilipomaliza chuo.....so tumia...
  10. Yusuph Hashim

    Online Bussiness App ipi ni ya uhakika?

    Ahsante sana mkuu, umeeleza vizuri......hapo kwenye free shipping ndipo watu wanapopigiwa.
  11. Yusuph Hashim

    Mliooa na mnaopata mshahara wa Tshs. 300,000 au chini ya hapo mnawezaje kumudu familia?

    Boss kila mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba yake
  12. Yusuph Hashim

    Naongea na wewe Jembe ni Jembe meneja mpya wa Harmonize

    Hahaha anatest mitambo CONTROLA
Back
Top Bottom