Mi naomba kuelimishwa kidogo ukisoma mathayo anaelezea ukoo wa yesu utaona kutoka ibrahimu mpaka yakobo aliyemzaa yusufu (baba yake yesu) katika vizazi kumi na nne sasa hoja na swali langu lipo hapa Kama tunaambiwa yesu alitokana na roho mtakatifu maana kigenetically hayupo kwa yusuph sasa...
Safi sana kwa jibu ulilompa hata yy akitaka aende pale awekeze aiibie club maana ukimuuliza katika club anayoishabikia hata kwa mwezi elfu moja anatoa?
Hapo sasa na ww umechemka Kama papai limetoa juice au takataka utasema kwa watu mashine imetoa unga ulitakiwa useme jamani imetoa kitu cha ajabu hapo watu watakuelewa eti ukisema mashine imetoa juice chafu watu watakuona nanga
Mtamuonea bure mtoa mada maana yeye ni Mtanzania hiyo dini anayozungumzia sio asilli yake amepata mapokeo tu kutoka kwa wengine jamani tuamini Imani zetu hata ukiulizwa unapakusemea.
Kaka this is not the joke hiyo hali imetokea kwa watu wengi hata Mimi pia ila Mimi nilichokifanya nilikuwa nakula tangawizi mbichi kavukavu hiyo hali hudumu Kama wiki mbili halafu hupotea,asikutishe mtu
Nakumbuka mwaka Jana niliugua mafua fulani hata sijui yakoje Kuna upepo mbaya ulipita watu wengi kidogo yalitushika yaani ukilala usiku unakoloma Kama mbuzi au Kama mtu anapiga ngoma chumbani,nikikaa Kama mwezi ndio nikanywa dawa,mungu anatupenda anajua kabisa nikiwafulumushia wote wanaondoka...
Kweli bongo tunasafari ndefu tutatusua kweli kijana kaweka uzi wake kwa ajili ya biashara yake Kama unahitaji kwenda unakwenda hutaki basi maana naona mpaka wengine wanajimwambafai na pia Kama unaona ni dalali si ametoa maekekezo ofisi ilipo kwa walio dar,nenda pale ofisini wakikutapeli...
Duniani watu tunashida Sana mtoa mada hata kama mbowe asingehudhuria leo angetoa mada nyingine Kuna watu wapo kwa ajili ya negative issues siku zote mi binafsi magufuri,mbowe ni watanzania tofauti zipo kwenye itikadi kama Simba na yanga ikija issue ya taifa stars ameshinda tunaruka pamoja...
Unajua sisi watanzania wanafiki sana na hii ndio tabia tuliorithishwa naamini mkuu akesema tuendelee na mradi huyuhuyu mtoa maada atakuja na kusifia sioni tofauti na ile ya kikokotoo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.