Recent content by yusufprince4

  1. yusufprince4

    JamiiForums Tanzania Osama bin Laden ndo Gaidi wa kwanza duniani kuzikwa kwa heshma na jeshi la Marekani

    hapo hakuna udini osama ni osama vitayake na marekani haihusiani na uislam hivyo bas admin alitazame hili swala ikiwezekana post azitoe zinazohusu hiliswala ni hayo 2
  2. yusufprince4

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi alieasi Korea abainika kushambuliwa na Minyoo

    Binadamu Ndio wana minyoo lakini nyuklia haina minyoo mwambie awajaribu
  3. yusufprince4

    JamiiForums Tanzania Nimepata SMS kutoka halotel ila sijaielewa naomba msaada

    Pambana na hali yako jomba
  4. yusufprince4

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sisi kwetu igunga umekua ni kama kawaida wanakata vile watakavyo sijui serikali imekuwaje mkufuli na majipu sijui halioni jipu hili
  5. yusufprince4

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu weusi wana IQ ndogo sana?

    Mtoa mada labda niseme watu weusi tunaakiri nyingi kuzidi watu weupe. Watu weupe hawataki tuonyeshe tuliokuwa nayo hivyo basi hutuwekea vikwazo vingi ikiwemo ugonvi wa wenyewe kwa wenyewe marazi madawa ya kudumaza akili zetu nimambo mengi tu wewe mwenyewe unajua nafikiri
  6. yusufprince4

    JamiiForums Tanzania Elizabeth Michael(Lulu) akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, ahukumiwa kwenda jela miaka 2

    Na yeye alimtumia kanumba sio kwamba kanumba tu ndiye alie mtumia lulu kikwete alisema ukitaka kula razima na wewe uliwe lakini sio kuuwa Naunga mkono hoja jaji achunguzwe kwa hukumu alio itoa kwa lulu
  7. yusufprince4

    JamiiForums Tanzania Ambae anauza PS3 na PS4 TV game

    Wanajanvi nashida na hizo PS mwenye kufahamu mahali au sehem zinako patikana kwa dar au sehemu yoyote amboyo usafiri hausumbui naomba tuwasiliane kwa Whatsup no.0621706889
  8. yusufprince4

    JamiiForums Tanzania Wingu lenya Ramani ya Afrika laonekanika leo Serengeti

    Sana mbaba tuwe tunaambiana ukweli bhana nikweli hiyo mambo imetokea au ndio mapichapicha
  9. yusufprince4

    JamiiForums Tanzania Wakristo wenzangu, kwanini tusiombe na sisi tuoe wake wanne?

    Badala muombe muache kupiga busu sanamu mnataka muombe muowe wanawake wanne
  10. yusufprince4

    JamiiForums Tanzania Flat tv samsung smart

    Mbona picha hakuna mbaba
  11. yusufprince4

    JamiiForums Tanzania Flat tv_tcl smart

    Ebhana zinapatikana za ukubwa gani
  12. yusufprince4

    JamiiForums Tanzania Wanaogiza Magari Japan, Kuweni Makini na Hii Kodi

    Inabidi admin awe anaweka post ya helufikubwa kwa mada mahususi Kama hii iliwezekupata watu wengi na serikari ikajua
  13. yusufprince4

    JamiiForums Tanzania Vitu used

    Mbaba naweza kupata kati ya ps3,4au HD BOX Kama inatikana moja Kati ya hizo niambie
  14. yusufprince4

    JamiiForums Tanzania Ooooh mwanamke chura..chura my foot

    Uko vizuri yako nafikiri nitakua hivyo[emoji6] [emoji6] [emoji6] bigup napendelea. mnato habari ya mjini chura Tupia majini ikaogelee
Back
Top Bottom