Recent content by yusouf

  1. yusouf

    JamiiForums Tanzania Mnamsifia mno Magufuli mpaka sasa imekuwa kero

    Ccm ni mbele kwa mbele namba tunaisoma,!
  2. yusouf

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Naona Giza mbele Kweye utawala wa Dr. Magufuli

    Hali no tete uchumi wa nchi ni upo icu jmani tuache siasa pesa hakuna!
  3. yusouf

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Lowassa yavuja

    Kwa aina ya mfumo wa maisha tulionao watanzania hakuna mwanasiasa atakaekubalika kama hasemi uongo ni kudanganywa tuu na ndicho tunachotaka kusikia eeeh mungu tunusuru
  4. yusouf

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    Daaaah shughuli imepata wenyewe yaani sio mchezo
  5. yusouf

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    Na hyo zuhura amtafute magufuli amuulize 1) Taifa limenufaikaje na meli ya samaki? 2)akiwa waziri wa ujenzi kuna wakandarasi wazalendo wanne inasemekana wametangulia mbele za haki kwa kuwa tu malipo yao ni mzungusho 3) Je ni kweli makandarasi hasa kutoka china wanalipa nssf?
  6. yusouf

    JamiiForums Tanzania Siyo ishara njema: Magufuli azomewa Mwanza

    Meli atanunua mbili mmmh akachukue na mv dsm iwe ya tatu
  7. yusouf

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lako mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika Oktoba 18, 2015

    Mmi nataka kujua wamejipanga vipi kutupatia katiba mpya na watuambie ipi wanaikubali ya warioba au sita,??
  8. yusouf

    JamiiForums Tanzania Shamra shamra za kumpokea Lowassa wilayani Rungwe zaanza

    Wana kiwira msisahau kutuzia huo mkaa tanga tuzalishie chokaa na cement, yaani mkaa unatoka india??
  9. yusouf

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lako mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika Oktoba 18, 2015

    Nini msimamo wa magufuli kuhusu katiba? Je anaunga mkono ipi ?
  10. yusouf

    JamiiForums Tanzania Mdahalo: Tuwapime Magufuli na Lowassa

    Jmani mmi napata mashaka sana,kilichopo ni ssi tuandae na tutake nni hawa politician wafanye na tuweze kuwawajibisha,lkini kwa staili hii tukishawapa kura tuu wao ndio wajanja wetu
  11. yusouf

    JamiiForums Tanzania UKAWA Arusha imeachwa with confusion and disorganisation

    Mmmmmh Hii sio kweli
  12. yusouf

    JamiiForums Tanzania Gesi Mtwara: Bibi wa Msimbati, nimeamini maneno yako

    Mmmmmh hiii sasa kali
  13. yusouf

    JamiiForums Tanzania CCM oneni aibu tazama hii nchi ilikotoka na mahali ilipo

    Daaaaah hili somo yaaani linakuingia mpaka
  14. yusouf

    JamiiForums Tanzania IPI TAREHE SAHIHI YA KUFUNGUA M.U.S.T (Ordinary Diploma)?

    Hongera sana
Back
Top Bottom