Recent content by yusimi

  1. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi ni mabubu kitandani mjiongeze

    Kwa pesa gan unayotoa.. Tena watu kama nyie ndo wakopaji wazuri
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Wanaokopesha magari

    Mil2kianzio. Nimeajiriwa kwenye private company
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Wanaokopesha magari

    Habarini wana jf wenzangu Mimi na umri wa miaka 25.nataka nimiliki gari. Naomba yeyote anaejua wanaokopesha magar anipe contact au directions. Nataka gari ndogo inirahisishie mambo madogo madogo. Asanteni
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuagiza vitu kutoka nje na kusafirisha kupitia ndege

    Habarini wana JF wenzangu, Naombeni msaada Nataka kuagiza vitu kutoka nje lakini vije kupitia ndege. Je kuna yoyote anajua anifahamishe utaratibu? Natanguliza shukrani Asante
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Ali express ebay amazon zote ziko salama.order tu
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Na mzigo ukapostiwa kupitia posta
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Zip code nadhan nliingiza 255
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Nimeshawah agiza kitu ebay na kikafika.
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Ulikuwepo akilini mwangu.nami nlitaka niulize hilo
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu naomba namba ya simu.nadhani mimi ntakua mmoja wapo wa balozi wako.
  11. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana wa Dar ni wavivu kitandani

    Wewe una staili gan kwani zaidi ya hizo.mana kama umefanya hizo inamana na wewe uliilziinjoi.ungetaka mpya unge introduce
  12. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana wa Dar ni wavivu kitandani

    Toa hela uone kama msemo wako ni sahihi.utakua bahili wewe ndo mana unapata magogo
  13. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada: Hivi nikweli kuna miguu ya watoto au tunatishana tu??

    Haswaaa.hahaha
  14. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada: Hivi nikweli kuna miguu ya watoto au tunatishana tu??

    Hahaha....haswaaa
  15. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada: Hivi nikweli kuna miguu ya watoto au tunatishana tu??

    Haha
Back
Top Bottom