shida ya amazon hawana tanzania naona tu Usa hata ukiagiza bidhaa kwenye taifa usa inaonekana tu
 
shida ya amazon hawana tanzania naona tu Usa hata ukiagiza bidhaa kwenye taifa usa inaonekana tu
Seller wengi wa Amazon hawatumi mzigo kuja Tanzania nakushauri tumia forwading company mimi ninatumia forwading company inaitwa Shipito ipo marekani kujisajili ni bure ukishajisajili wanakupa anuani ya Marekani yenye id zako ambayo wewe utaitumia kuwapa seller wa Amazon au Ebay ambao hawatumi mzigo bongo kisha watatuma kupitia anuani hiyo ya Shipito mzigo utafika kwenye Company ya Shipito kisha Shipito watakutumia email kuwa wamepokea mzigo wako hapo sasa ni wewe unaweka anuani yako ya huku bongo kisha unachagua njia mbalimbali za na gharama za mzigo wako kufika kuanzia siku 45 mpaka siku 3 mzigo unakufikia kutegemea na njia uliyochagua.
 
- Hapana
- Wanamfumo wao ulio salama, ni AMAZON PAY, link kadi yako kama ufanyavyo kwa PAYPAL
Pia nimejaribu kujiunga na hii shipping company ya MyUs lakini katika kulink paypal imenikatalia. ttzo linakuja kwenye nini labda? paypal acc yangu iko vizuri na ninaitumia pindi nifanyapo manunuzi ebay
 
View attachment 515196
Ina maana baada ya kupita siku 30 nitakuwa nalipia usd 7 kwa kila mwezi? na jibu ni ndiyo wanakata kupitia account ipi?
nazungumzia hiyo ya premium.
pia nashauriwa kutumia ipi katika hizo 3 hapo ambayo haina process nyingi?
 
Wadau najua kuna wataalamu na wazoefu wa hii kitu,ununuzi wa bidhaa mitandaoni kama ambavyo title inaeleza!.

Sasa nina mambo machche nahitaji msaada na nina amini wengi watafaidika kupitia uzi huu.

Ktk process za kununua ukisha chagua bidhaa na aina unayotaka, yaani rangi, model, na sifa nyingne, unatakiwa kuchagua quantity yaani kiasi unachotaka kununua! Kama simu basi unataka ngapi!? Pia inafuata hatua ya kujaza paying method,either kupitia mastercard, paypal, visa cards and so and so....

SASA BASI HERE COMES THE LAST STAGE AMBAPO UNATAKIWA KUCHAGUA SHIPOING METHOD, NA INATAKIWA UJAZE ANUANI YABKUPOKELEA MZIGO... GUYS SUALA NINALOKWAMA NALO NI HIZI CODES HUA WANADAI UZIJAZE NA NI LAZMA LASIVYO PROCESS HAIKAMILIKI...

ZIP CODE?
POST CODE?
CITY/PROVINCE CODE?

NA NYINGNE ZENYE MUELEKEO HUO NAAMINI WAZOEFU WANAELEWA,SASA NAOMBA MSAADA HIZO CODES UNAJAZA VITU GANI AISEE... NAJUA WAPO WADAU WENYE KUFANYA HIZI MAMBO KILA WAKATI! MSAADA WENU PLZ.


51e1a3faf13e17e77d66a82e1d16440c.jpg


Picha ikionesha mfano wa msaada ninao hitaji.

1f8daa9528f3f6a87b78b4681ae8b471.jpg
 
One time na mimi nilikuwa najifunza hivyo kufika stage kama hiyo yako nikakwama, Natumai wataalamu watatuelezea tujue kwa kina
 
>ZIP CODE?
>POST CODE?
>CITY/PROVINCE CODE?

NA NYINGNE ZENYE MUELEKEO HUO NAAMINI WAZOEFU WANAELEWA,SASA NAOMBA MSAADA HIZO CODES UNAJAZA VITU GANI AISEE... NAJUA WAPO WADAU WENYE KUFANYA HIZI MAMBO KILA WAKATI! MSAADA WENU PLZ.
Je ni mtandao upi umepanga kufanya manunuzi?

Kama ni AMAZON kwa asilimia 98 ya items seller hawatumi kuja Africa. Hivyo ni lazima uwe na anwani ya nchi husika, ili mzigo ukipokelewa ndipo utumwe kuja africa.

Kwa kuwa unajifunza anza na hii mitandao
- aliexpress
- banggood
- gearbest

Karibu www.bit.ly/101buy4me
 
Niliwahi kuagiza bidhaa Fulani kutoka alibaba nilipokea email iliyoniambia kwamba I have to wait for the supplier to prepare a trade contract lakini hadi leo sijaona chochote.tatixo ni nini hapa.
 
Back
Top Bottom