Recent content by yudaJ

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Ni akina nani walichoma BoT miaka hiyo?

    yaani wewe ni kati ya wapiga pori majibu yako yanaonyesha tu umekumbwa hujui lolote bora unyamaze
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Nyota yazidi Ng'aa: Naibu spika Dkt. Tulia Ackson apewa nishani na zawadi toka bunge la China

    labda wa ccm maana zimeruhusiwa simu feki kutoka kwao kwa hongo za mashirika ya viwango vya bidhaa ili ziuzwe kwetu leo kwa kutumia kodi zetu wamenunua mtambo wa kuzimia hizo simu yaani Tanzania ya ccm ni changa la macho
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Nyota yazidi Ng'aa: Naibu spika Dkt. Tulia Ackson apewa nishani na zawadi toka bunge la China

    jamani mtu kapewa mchoro ili apitishe miswada inayohusu vifaa feki poleni ccm maana mnajivunia msichokijua
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Madoido ya 'Kobe wetu'

    umenena
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Magufuli anasemwa sana na hawa watu wawili Gado, Kipanya?

    hata hawa wanaojidai wanapinga haya adha ya sukari hamjaiona au ni wanaporojo tu ili na nyie mpate vyeo hana nafasi za kuwapa wote penye ukweli tukubali siyo kufumbia macho ili kesho mnalalamika huku mnamkumbatia chawa au kupe wenu na kusema (mimi ni nimeumbwa hivihivi na Mungu wangu nikiwa na...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Magufuli anasemwa sana na hawa watu wawili Gado, Kipanya?

    kama ukinena wanakufanyia hayo mambo sasa dictatorship tunaitafutia wapi huko kwingine wakati ndo hii
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Magufuli anasemwa sana na hawa watu wawili Gado, Kipanya?

    yaani sasa ni kama mapambo tuu maana hashituki
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Magufuli anasemwa sana na hawa watu wawili Gado, Kipanya?

    kama rais ye Mungu?
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

    toa mapya uliyonayo wewe
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

    kuwadanganya wananchi kwa kutumia watumishi wa Mungu? au yote mnayofanya ili kuwaaminisha wananchi, yaani mapigo ya Mungu hayakawii tusubiri ya kutokea majuto ya yote yako wana CCM
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

    wakishindwa kwa mabomu ya machozi wabadili
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

    heri kufa mwili kuliko kufa moyo songa mbele Lowasa
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

    u look like you want bt u fear thats y u w'll never get
Back
Top Bottom