Jamani seriously,azam hawanaga soka la ushindani TPL. maana uwa siwaelewagi kabisa,hata aende mchezaji mzuri sana uwaga awajuagi kumtumia.
Leo wamewatema
KUTINYU,
SINGANO,
LYANGA,
ATA,
CHIRWA.
kwa upande wangu naona haikua na haja ya kuwaacha wote hawa,nadhan AZAM FC wamerudia makosa,makusudi...