Asante ndugu min -me japo kichwa yako ni Ngumu ila Nakuombea Yesu akufungue,,,,,,, ... Najibu👉 Ufalme wa Mungu upo ndani yetu ikiwa na maana ya matendo yetu mema
Hauwezi sema Ufalme wa Mungu upo ndani yako wakati matendo yako hayana wema
Wema ni zao kutoka katika upendo na upendo ndio AMRI...