Recent content by Yuda Aloyce Mwacha

  1. Yuda Aloyce Mwacha

    JamiiForums Tanzania CEO wa Vodacom aliyeteuliwa toka Kenya anyimwa kibali na Serikali. Aambiwa wapo watanzania wa kufanya kazi hiyo

    To employ a person of other country , to the sector that we can master for our self ,will be a lack of thinking
  2. Yuda Aloyce Mwacha

    JamiiForums Tanzania Kujichua ama kupiga punyeto kwa wanawake

    Punyeto ni mbaya kiafya na pia ni dhambi, tumeumbiwa wenzi wa maisha kila mmoja wetu, tena tunapaswa kuwa na mwenzi mmoja wala si zaidi, kama bado hujawa na mwenzi wa maisha Biblia inatutaka kujizuia na tamaa za kila namna,,,...Galatia 5:24,. 1korintho.6:9-10, 1korintho.6:15-20
  3. Yuda Aloyce Mwacha

    JamiiForums Tanzania Tukisema vyuma vimekaza, mnajibu "Tia grisi"

    [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  4. Yuda Aloyce Mwacha

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli amwapisha Dr. Wilbrod Slaa kuwa Balozi Sweden na Muhidin Mboweto kwenda Nigeria

    Dah., ndio hivyo sasa ninyi mlitegemea awe Rais, wakati hicho ndicho kiti chake, mambo ndio hayo, na ukiona nchi mara nyingi inaingia kwenye shida kwa sababu ya kiongozi Fulani, Tambua kwamba huyo kiongozi alikaa kwenye kiti asichopaswa kukikalia...
  5. Yuda Aloyce Mwacha

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha mapenzi ya jinsia moja Afrika Mashariki

    Na chanzo chake huko ulaya ni nini?
  6. Yuda Aloyce Mwacha

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha mapenzi ya jinsia moja Afrika Mashariki

    Huo utafiti haupo sahihi.
  7. Yuda Aloyce Mwacha

    JamiiForums Tanzania Trend Reading: Salum Mwalimu, Mb. Mtarajiwa, Kinondoni!. Hata Wana CCM Wasioendekeza Ujinga, Watamchagua!.

    Kwa kweli ni ujinga, tu Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom