Recent content by Ytoday

  1. Ytoday

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    😂😂😂 dah
  2. Ytoday

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Bayport wanatuma sana message zao nitopup 😂 kwa story nilizoskia hum wacha tu nimalizane na hio laki 6 Yao tuishane
  3. Ytoday

    JamiiForums Tanzania Mbona hizi dini zinachanganya?

    Sawa vitabu vinaweza vikawa ni vya kutungwa lakini , haiondoi uwepo wa Mungu
  4. Ytoday

    JamiiForums Tanzania Mbona hizi dini zinachanganya?

    Mapungufu yapi hayo ambayo wewe unayaona na uwezo wake wote upi huo ambao unauona ??? Umeshawahi kuona uwezo wote wa Mungu,?
  5. Ytoday

    JamiiForums Tanzania Mbona hizi dini zinachanganya?

    Nmejibu hivyo Kwa sababu nmeelewa mantiki yako, kwamba unaona kama vile Mungu kuna mahala amefeli, Sasa na Mimi ndio nmekujibu kua hata kama unaona Kuna sehem labda imelegalega je huoni tu kwamba bado amefanya Kazi kubwa ku create ulimwengu
  6. Ytoday

    JamiiForums Tanzania Mbona hizi dini zinachanganya?

    Mungu ameumba binadam mwenye uwezo wa kum judge , ndio uone ni jinsi Gani yeye alivyo mwamba
  7. Ytoday

    JamiiForums Tanzania Mbona hizi dini zinachanganya?

    Asilimia chache sana ameacha katika kufanya ulimwengu uwe perfect , nazani tumsifie Kwa kile kidogo alichofanya , Mungu fundi sana , tuna enjoy Kwa kidogo icho icho alichotuumbia ,
  8. Ytoday

    JamiiForums Tanzania Mbona hizi dini zinachanganya?

    Only created things has a creator
  9. Ytoday

    JamiiForums Tanzania Mbona hizi dini zinachanganya?

    Mungu aliumba ulimwengu mzuri tu ila walimwengu ndio wanauharibu
  10. Ytoday

    JamiiForums Tanzania Mbona hizi dini zinachanganya?

    ukifa hurudi tena ko mtu anataka ainjoy vya mwisho mwisho
  11. Ytoday

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Akanji ,gvadiol ,dias and stones to start
  12. Ytoday

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Ukocha mgum sana
  13. Ytoday

    JamiiForums Tanzania Tuchambue haya majina ili kubakiwa na majina 10 ya wanaJF walioupiga mwingi humu 2024

    Infronuer 🔥🔥
  14. Ytoday

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hizi odds za Liverpool 1.55 muindi ana maana Gani 😂
Back
Top Bottom