Salaam wote!
Wakuu ninasumbuliwa kwamuda mrefu sasa na vijimatangazo kwenye web-browser (IE10 na FFX 20) ambavyo vinajitokeza upande wa chini kulia au kushoto..tazama attachment. naombeni msaada ili kuikondoa kero hiyo.
Ahsanteni.
NB:[OS-Win 7 Ultimate x64, Intel Celeron 1.5GHz, RAM 4GB]
Nashukuru Ndg. maana nimekiona chanzo cha tatizo(Picha B) update kb/973879 ambayo ilikuwa installed tangu tareh 20/12/2009...japokuwa baada ya hapo niliinstall updates nyingine tareh 31Jul2010 na 09Oct2010 haikuleta kelele mpaka nilipo jaribu kuinstall updts za safari hii(Picha A).... kwa sasa...
Nawashukuru , Ndg. Mtazamaji na MziziMkavu, naona kuna dalili zote za kufanikiwa safari hii ... ngoja niufanyie kazi ushauri wenu na ntawajulisha kitakachojiri.
Thanks!!
Competency .......... basic!
kiukweli kwa muda wote huo nimekuwa nikitumia njia hii ya system restore,hiyo aticle uliyo refer hapo..nisha wahi kuikaguakagua ila nika chagua method 2(syt restore) . . .mini nilifikiri labda kutakuwa na software amabayo naweza kuinstall ikakomesha tatizo hili ...
:help: kwa kompyuta hii nadhani kuna sababu nyingine, maana tatizo hili lilianza mapema tu baada ya kuinunua (July 2009)....labda nijaribu hilo la windows 7.
Thnks!!
<br />
<br />
Hii ni window vista home premium,SP2...na updates zenyewe ni security updates na nyinginezo ... Ambazo unapokuwa kwenye internet zina dowload&kuinstall automaticaly!
Tatizo hilo limekuwepo tangu nilio nunua lptop hiyo na kipindi hicho ilikuwa bado sp 1
Hallo wana JF!
Jamani mimi natumia Windows Vista - Home Premium, ambayo ni 64-Bit version.
Tatizo la hii ni kwamba karibu kila mara ninapo install windows update za microsoft,...na baadae ninapo restart computer, ..huwa inadisplay Blue Screen..... halaf nakuwa siwezi kuitumia tena hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.