Msaada! - Kero ya Matangazo kwenye Web-browsers [IE10 & FFx 20]

Msaada! - Kero ya Matangazo kwenye Web-browsers [IE10 & FFx 20]

yshima

Member
Joined
Sep 12, 2010
Posts
31
Reaction score
1
Salaam wote!
Wakuu ninasumbuliwa kwamuda mrefu sasa na vijimatangazo kwenye web-browser (IE10 na FFX 20) ambavyo vinajitokeza upande wa chini kulia au kushoto..tazama attachment. naombeni msaada ili kuikondoa kero hiyo.
Ahsanteni.
NB:[OS-Win 7 Ultimate x64, Intel Celeron 1.5GHz, RAM 4GB]
 
Attachments

  • Adds.jpg
    Adds.jpg
    107.8 KB · Views: 56
adblock ndio mpango, itaondoa mpaka ya facebook na kila mahala, na sio firefox tu hata kuna addon kwenye chrome na maxthon
 
Tumia Adblock utasurf bila usumbufu wa matangazo... yani mimi nna siku nyingi sana sijaona matangazo kwenye browser labda niende kwenye pc nyingine.
 
adblock ndio mpango, itaondoa mpaka ya facebook na kila mahala, na sio firefox tu hata kuna addon kwenye chrome na maxthon

hii ni kiboko hata mimi nime'add kwny browser yangu matangazo ya kiduanzi hakuna tena
 
Back
Top Bottom