YeshuaHaMelech
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 2,597
- 37
:hungry:Hahahahha Yeshua hii Ubuntu binafsi mbona ninayo LTS 10.04 along with XP.Dual Boot.
Sure, lakini sitarajii litokee muda wowote hivi karibuni. nafikiri unafahamu ubabe na undava wa MS ktk soko la softwareLakini ukweli Microsft wakitaka mkwanja wa waafrika inabidi wapunguze bei.
sudo apt-get install wineSawa unaweza kuweka ubuntu lakini bado kuna baadhi ya aplication itasumbua tena kwa mtu ambaye knowledge yake ni basic.
Baada ya hapo unainstall application nyingine kama kawaida. Kama unamiss some stuffs unatumia winetricks