Upgrade to windows 7 professional au ultimate bila kutumia cd wala chochote

Kwakweli hii imenisaidia sasa naomba mdau ambae atanisaidia namna ya ku-activate microsoft office professional plus 2010. Maana mimi sikubahatika kuwa na product key.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Nawashukuru wadau.

Chezea mshahara usichezee kazi.

Tafta kitu kinaitwa microsoft office 2010 activator search google ukishakipata download na uki run
 
Wakuu mie ninayo hii w 7 ultmate tangu nime install inanipa warnig ya kui apgrade kabla ya tarehe ....! Je mfumo huo uliotoa hapo juu na mie unaweza kunifaa?

Search windows 7 activator software google then i download na ku i run comp ita shut down na kuwaka itakuwa activated
 
wadau, watu wengi wanaonunua brand new computers uwa wanakuta imeku installed na cheapest windows 7 starter ambayo ina lack many features ahass upande wa multimedia.
Sasa ngoja niwape siri moja ni kwamba DVD ya installation ya windows 7 uwa inacontain aina zote za Windowa seven sema kuna command tag ambayo ndiyo ina determine cd ikuwekee windows 7 aina gani.
sasa kwa wenye windows 7 statrter leo nawapa formula ya ku upgrade windows 7 starter bila kutumoa internet wala cd la kufanya fanya haya:
Start->All Programs->type Windows Anytime Upgrade na press enter
weka hizi key upgrade to Proffession->237XB-GDJ7B-
MV8MH-98QJM-24367 na ku upgrade to Ultimate->6K2KY-BFH24-
PJW6W-9GK29-TMPWP
itachukua kama dakika 10 kazi kwisha

it's work asee mkuu umetisha big up!!!
 
kiongozi ubarikiwe sana hakika wewe ni mkali nilioshahangaika sana kutafuta CD ya hii kitu lakini nikawa nakwama hapa nimefanikiwa ndani ya dakika chache pekee...Long live JF
 
Ultimate ndo superior zaidi ya zote

Me natumia Window 7 Home Premium je naomba ushauri nichange kwenda Window 7 Ultimate maana naona wadau pamoja na wewe mmesema kwamba Window 7 Ultimate ina kila kitu au mnanishauri vipi??
 
Unaweza change thou si rahisi kuona utofauti wake
 
wadau, watu wengi wanaonunua brand new computers uwa wanakuta imeku installed na cheapest windows 7 starter ambayo ina lack many features ahass upande wa multimedia.
Sasa ngoja niwape siri moja ni kwamba DVD ya installation ya windows 7 uwa inacontain aina zote za Windowa seven sema kuna command tag ambayo ndiyo ina determine cd ikuwekee windows 7 aina gani.
sasa kwa wenye windows 7 statrter leo nawapa formula ya ku upgrade windows 7 starter bila kutumoa internet wala cd la kufanya fanya haya:
Start->All Programs->type Windows Anytime Upgrade na press enter
weka hizi key upgrade to Proffession->237XB-GDJ7B-
MV8MH-98QJM-24367 na ku upgrade to Ultimate->6K2KY-BFH24-
PJW6W-9GK29-TMPWP
itachukua kama dakika 10 kazi kwisha

Mkuu,
Natumia w7 professional, nimejaribu ku upgrade to ultimate mara tatu inaleta message hii
"Windows anytime upgrade was not successiful please try the upgrade again
 
Umeweka hizo keys nlizoweka juu kama inavyotakiwa coz kuna keys 2 hapo ya ultimate na ya professional
 
El Magnifico unatisha, nadhani sasa tukuite El Nino. Katika Muda usiozidi Sekunde Saba, nimeukata mzizi wa fitina. Nakushukuru sana mkuu.:dance:
 
Thanks, upgraded from Win 7 Pro to Ultimate. Ingawa nimepiga chini ku-download Languages (updates), zinakula space kubwa.
 
wadau, watu wengi wanaonunua brand new computers uwa wanakuta imeku installed na cheapest windows 7 starter ambayo ina lack many features ahass upande wa multimedia.
Sasa ngoja niwape siri moja ni kwamba DVD ya installation ya windows 7 uwa inacontain aina zote za Windowa seven sema kuna command tag ambayo ndiyo ina determine cd ikuwekee windows 7 aina gani.
sasa kwa wenye windows 7 statrter leo nawapa formula ya ku upgrade windows 7 starter bila kutumoa internet wala cd la kufanya fanya haya:
Start->All Programs->type Windows Anytime Upgrade na press enter
weka hizi key upgrade to Proffession->237XB-GDJ7B-
MV8MH-98QJM-24367 na ku upgrade to Ultimate->6K2KY-BFH24-
PJW6W-9GK29-TMPWP
itachukua kama dakika 10 kazi kwisha

Mkuu, mimi nina Windows7 Home Basic - 64Bit, itawezekana kuiupgrade to Ultimate?

Thnks!
 
mkuu mi natumia, window 7 proffesional. hivi karibuni imeni alert window is not genuine, kwa hiyo naweza kui upgrade kwenda ultimate nikitumia key za ultimate ulizotoa kwenye thread. asante
 
Back
Top Bottom