Recent content by YOUR ATTORNEY

  1. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kocha Fadlu kajitahidi sana. Lakini Simba itafute kocha

    🤣🤣🤣🤣🤣
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Serikali yafyeka mishahara ya watumishi

    Mbona una generalize. Hayo makato ni ya nini na ni kwa wafanyakazi wote?
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

    Hao majenerali na wanasayansi wa nuclear ni raia? Andiko refu akili tone
  4. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

    Berkane, بارك الله فيك barak allah fik
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Uislamu unakua kwa kasi sana mkoani Iringa

    Iringa Kitomoto kinaliwa sana.
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Rais Samia

    Basi jitahidi uwe Raisi Samia
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta mwaka 2008 nilipopanda basi moja na mama mkwe wangu niliyekuwa namuheshimu

    Kama hii story ni ya kweli, basi wewe na Huyo mama mkwe si abiria msiojitambua. Hamjui Haki zenu na pawa zenu ndani ya chombo Cha usafiri wa abiria
  8. Y

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tukutane Mahakama ya Kisutu Tarehe 24/04/2024, Maandalizi yote kwa upande wetu yamekamilika

    Kwani Mheshimiwa Lissu ameshasomewa Commital. Au siku hiyo DPP ataweka Nolle proseque? Au ni kwa zile Kesi za kusambaza Taarifa za uongo?
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Sheria hapa ikoje...

    Unaweza kufungua Kesi ikiwa utathibitisha ulivyoathirika kwa kitendo hicho mbele ya jamii inayokuhusu au uliyomo na kuwa kampuni haikuwajibika kutunza Siri ambayo ilipaswa kuwajibika kuitunza.
  10. Y

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Namna ya kufungua kesi inayohusu utapeli uliotokana na Biashara

    Kama milikuwa na mkataba Kuna suala la uvunjaji wa mkataba hapo na utaweza kudai urudishiwe gharama, fidia na madhara mengine kulingana na nature ya case Kama Kuna utapeli, basi kuna jinai hapo dhidi ya wakurugenzi wa kampuni hiyo. Cha msingi, tafuta mwanasheria aone na apitie nyaraka zote Ili...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Akaunti za Freeman Mbowe zimedukuliwa? Kwanini hajapost chochote kuhusu kukamatwa kwa Tundu Lissu? Ni kinyongo au gubu?

    Ila Mbowe mngemuacha Kidogo kwanza, kwa zile kashfa alizoshushiwa tena toka kwa Msaidizi wake Mkuu, na wasaidizi aliowalea, hata wewe huwezi kukaa sawa kwa haraka. Ila chama kisipojikita kufanya reconciliation na kuongozwa na mihemko na ushabiki tu tutarajie chama hiki kuishi katika nyufa na...
  12. Y

    JamiiForums Tanzania CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

    Mleta mada hujajua msimamo wa Chama labda.
Back
Top Bottom