Recent content by Youngceoplatnumz

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Kwani kuna mtu anataka laptop ya gen 11 core i7 1TB SSD?? kama yupo mtu na yupo serious anicheck muhimu awe dar maana ataletewa atakagua then atalipia
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Laptop nzuri ya Programming budget yangu 2.2M

    Ma boss 2,200,000 kama una mazungumzo njoo
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Laptop nzuri ya Programming budget yangu 2.2M

    Chief-Mkwawa Hp Pavilion 15 Intel Core i5 12th Generation 16GB DDR4 RAM 512GB SSD Storage Intel Iris XE Graphics 15.6inch FHD Display Fingerprint & Face ID
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Laptop nzuri ya Programming budget yangu 2.2M

    Siyo katika hali nzuri bali ni new brand kabisa anachana mwenyewe na warranty ya miezi 13
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Laptop nzuri ya Programming budget yangu 2.2M

    Chief-Mkwawa vipi tukimuweka hapo kwa bajet yake au tutakuwa tumemuonea
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Laptop nzuri ya Programming budget yangu 2.2M

    HP VICTUS RTX 3050ti [emoji2768] BEI 2,200,000[emoji2768] GAME ZOTE KAZI YOYOTE YA GRAPHICS HUMU UNATELEZA TU MASHINE YA KAZI BEI OFFER HIYO Product name Victus by HP Laptop 16-d0127TX Microprocessor Intel[emoji2400] Core[emoji769] i5-11400H (up to 4.5 GHz with Intel[emoji2400] Turbo Boost...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Laptop nzuri ya Programming budget yangu 2.2M

    Njoo PM au njoo whatsapp 0777994369 ni text hapo au kama vp njoo ofisini kabisa kariakoo aggrey opposite na mkombozi bank
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Laptop nzuri ya Programming budget yangu 2.2M

    Njoo nikupe sample za laptop kali kwa hajet yako na imani utazipenda
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Zoom camera ya infinix zero x pro nikufuru hilo nimelithibitisha mimi mwenyewe

    Ambacho hamkijii ni kitu kimoja hiyo infinix anayotaja hapo bei yake ni kubwa kuliko hiyo xiaomi anayosema Jamaa Sasa sijui bei kubwa au jamaa hafatili simu??
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Simu gani nzuri kwa bajeti ya laki 2?

    Kuna simu inaitwa sony xz1 used kutoka nje clean sana nitakuachia kwa 230,000 ni simu bomba sana
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ni ulaya Tu na sio bongo

    Mbona bongo ipo hiyo huduma mfano mdogo hata mm nafanya hiyo kulipia kidogo kidogo ila sema kumuachia mtu aende na mali hapo ni utata kwa maana wezetu wanasystem nzuri ya kufatilia watu mfano mtu akienda labla na passport yake akachukua bidhaa kwako kitendo cha mshahara wake kutoka tu ww unapewa...
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Bei ya simu used Zanzibar

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utaibiwa kaka ww kama unataka simu nzuri na ni bora ww nicheck tu nitakuuzia kwa bei simple kidogo ila Siyo kwa s10 plus kwa 400K u ataka ulie??
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Nimeletewa IPhone 13 Pro max na rafiki yangu

    Sijui atakuwa bado mbishi mpaka hapo kuwa simu yake ni copy
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Nimeletewa IPhone 13 Pro max na rafiki yangu

    Habari za muda huu naimani ni mzima wa afya ngoja kwanza twende mdogo mdogo kununua simu fake siyo kwamba kila mtu anapa ga hata wazazi wetu huwa wanatuletea simu fake bila wao kujua maana simu zinaitaji elimu sana. Ok pengine labla mambo yamebadilika ila kwamimi hapa navyojua iphone hii...
Back
Top Bottom