Recent content by young tunafish

  1. young tunafish

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hana hamu ya kufanya mapenzi na mimi. Nifanyeje?

    jamaa mke mmoja anakushinda utaweza kuwa na mahawara kweli
  2. young tunafish

    JamiiForums Tanzania Mkiwa bado katika debate ya kwamba hauwezi fanya biashara Kariakoo bila uchawi, wachina wana takeover taratibu. Mbona hamuwarogi sasa!

    una duka kariakoo?? una biashara yyte kariakoo?? umepanga hata baraza kariakoo?? una mtaji wa milion 55?? unawafahamu wachina kwa undani gani au unawaona tu wanaingia na kutoka kariakoo??
  3. young tunafish

    JamiiForums Tanzania Sitasahau nilivyopata demu mbunge maisha yanapita wakuu

    napendelea sana kunywa maji yaliyochanganywa na limao nyingi chai wape geniziii man
  4. young tunafish

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu mzima akilala hawezi kuanguka kitandani anapojigeuza

    Stuxnet mjuba vp ile hali hujaota unajamiiana ila unakuta umepiga bao au unastuka haraka unakuta ilikuwa kidogo uchafue mazingira imekaaje kitaalamu
  5. young tunafish

    JamiiForums Tanzania Argentina ni lazima ashinde kombe la dunia, hizi hapa facts za ajabu

    KIKO WAPI 🐐🤐
  6. young tunafish

    JamiiForums Tanzania Hawa viumbe siyo kabisa, tuishi nao kwa akili sana, wao ndiyo pengine hata hutuua

    kwahiyo huyo jamaa advance alisoma PGM na alikuwa anawafikisha abiria salama kabisa??
  7. young tunafish

    JamiiForums Tanzania Wanaume leo nawapa ukweli mchungu: Hakuna mwanamke asiye na mchepuko

    hahaha watoto wa 2000 bhna apo ndo kaona ameshauri wajuba eti.. sema kama ni bizness weka kiwango hapo tufanye kazi
  8. young tunafish

    JamiiForums Tanzania Nina Milioni 3 ni bora ninunue hisa za CRDB au niende Chalinze nikanunue kiwanja?

    waliokuambia nao waliambiwa bora uteke 20×20 chap
  9. young tunafish

    JamiiForums Tanzania Je, Lionel Messi ana nafasi ya kushinda Ballon d'Or 2026?

    🐐🐐🐐 messi mbona ana nafasi kubwa sana kupewa ballon d'or hata hii fainali haijaisha bado watakata rufaa irudiwe tena maana yeye ndo fifa princess 🤣🤣
  10. young tunafish

    JamiiForums Tanzania Huu ni Ujumbe muhimu kwa wale ambao mnaichukia Argentina na Mwamba Lionel GENTAMYCINE Messi

    m.e.s.s.i mama eti sindano si imeingia 🤣🤣🤣 KIKO WAPI
  11. young tunafish

    JamiiForums Tanzania Milima ya mawe hutokana na nini?

    hahaha mkubwa nakubali sana majibu yako
  12. young tunafish

    JamiiForums Tanzania Huu ni Ujumbe muhimu kwa wale ambao mnaichukia Argentina na Mwamba Lionel GENTAMYCINE Messi

    buda cr7 atabaki kuwa kama alivyo maana kwa uwezo wake amefanya dunia imuongelee kama vile ww ulivyomtaja kwenye uzi wako.. siku zote kuna the best na mtu ambaye yupo close to the best ndomana midahalo haiishi kulinganisha wachezaji hao..
  13. young tunafish

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki TID akamatwa kwa kushindwa kulipa bili Bar

    mzee kigogo warioba. mama yake anakuja kumtoa huyo mnyama ww
Back
Top Bottom