Duh.wenzetu wamefika mbali wana anza kupunguza siku za kufanya kazi na bado kimaendeleo wametuzidi sisi huku watu wanataka wafanya kazi wafanye kazi siku saba na maendeleo ni sifuri sijui tunakwama wapi Tz
Hapo Kuna vitu viwili bro kama ni mke wa ndoa unashindwaje kuwekeza kwake na hakuna ajuaye kesho huo wasiwasi wa kutokuwekeza kwake unatoka wapi ukiwa na fikra za namna hiyo ni rahisi kufa na magonjwa ya moyo sasa kama utashindwa kuwekeza kwa mke wako wa ndoa unataka ukawekeze wapi
Kama sio...
Kwanini utange tange kuhama makanisa tafuta sehemu ambayo unasikia amani kutoka ndani ya moyo ndio ukae hapo umuabudu Mungu vinginevyo utahama makanisa mpaka uimalize Dunia yote ndugu yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.