Recent content by Young silver

  1. Young silver

    Nimetoa ngoma mpya. Naomba sapoti yenu

    Ooh, right. Nimetoka tu nyimbo yangu kwa mara ya kwanza, Ipo kwenye YouTube channel, tafadhali subscribe, share, comment na like. 🙏... https://youtube.com/@youngsilver1?si=158RXC_ROe-jJ9ya
  2. Young silver

    Nimetoa ngoma mpya. Naomba sapoti yenu

    I have released my newest song for the first time. Hata kwenye game bado sijaingia. Nawaombeni support yenu wadau, judge if I can or not, au nikalime tu ndizi🥹🥹 I hope you will not let this past over🙏🙏🙏 Release on my YouTube channel, please subscribe, share, comment and like. 🙏... Support...
  3. Young silver

    Support, support support

    I have released my newest song for the first time. Hata kwenye game bado sijaingia. Nawaombeni support yenu wadau, judge if I can or not, au nikalime tu ndizi🥹🥹 I hope you will not let this past over🙏🙏🙏 Release on my YouTube channel, please subscribe, share, comment and like. 🙏...
  4. Young silver

    Gb

    Nasikia ety Kuna gb Whatsapp iliyohakiwa, na huwa inakuwaga nzuri kweli, yaani haisumbui kama zingine Naomba ufafanuzi tafadhali wakuu, na kama uko nayo nisaidie plzzz
  5. Young silver

    Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

    Huo sio urafiki Tafuta type Yako bhna, Kuna urafiki unafikia mpaka undugu, issue ni kuendana tu, same status, same age, same class, same type, same goals, yaani Kila kitu ni same same tu😂😂😂
  6. Young silver

    Najaribu ku log in kwenye mfumo wa mikopo HESLB lakini inashindikana

    Karibu kutumia kiungo kilichopo Kwa menu, hili jambo linanitokeaga pia, ila nilitumia icho kiungo nilichozungushia duara apo mambo ya kawaid swafiiiiiiii
  7. Young silver

    KERO Bodi ya mikopo elimu ya juu kuna shida gani? Tunahangaika kuweka taarifa ila zinakataa wakati ni taarifa sahihi, au haukuunganishwa vizuri na NIDA?

    Shida kubwa ni kuwa server inakuwa na mzigo sana, na unafuu unaptikanaga usiku, karibu kufanya hiyo process usiku utakuja kunishukulu
  8. Young silver

    Naomba kupata summary ya ufaulu form six 2025 kitaifa

    Basi nispecify kabisa katika combination ya PCB
  9. Young silver

    Naomba kupata summary ya ufaulu form six 2025 kitaifa

    Naomba kupata summary ya ufaulu form six 2025 kitaifa, I mean idadi za one za tatu, nne, Tano n.k, two, three n.k. Plzzzzz
Back
Top Bottom