Recent content by Young rich nigga

  1. Young rich nigga

    Nikiwa naye mashine inafanya kazi mara nne, nikifanya sub inakataa

    Nafatiliaga post zako nyingi mkuu!! Ila isiwe kesi boss wangu!! [emoji1635]
  2. Young rich nigga

    Nikiwa naye mashine inafanya kazi mara nne, nikifanya sub inakataa

    Mzee wa fix na kambaa nying!! [emoji28] [emoji28]!! [emoji119]
  3. Young rich nigga

    Huyu mwanamke simwelewi

    #REAL LOVE IS NOT FOR EVERYONE [emoji1630] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Young rich nigga

    Tekashi69 au 6ix9ine is back

    $nitch boy [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Young rich nigga

    Bata ni mchafu lakini ni mtamu sana kuliko kuku

    Ucjali mkuu!! Nusu yote yako hio Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Young rich nigga

    Bata ni mchafu lakini ni mtamu sana kuliko kuku

    Bata muandae leo alafu mpake viungo kama tangawizi, limao, kitunguu swaumu, chumvi then muoke kwenye mkaa wa wastani!!! Alafu njoo umle kesho,, mbona utaenjoy! Hivi ninavyoongea ndio naroast bata wangu wa jana [emoji39] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Young rich nigga

    Mwenye jibu anipe hapa

    14 @YoungJigger
  8. Young rich nigga

    Nahisi nina corona

    Call 199 @YoungJigger
  9. Young rich nigga

    Mambo 10 ya kufanya kabla hujafika umri wa miaka 28

    [emoji119][emoji119][emoji119] Mkuu tukiongelea asset tunaongelea mali au biashara ambayo itaweza kukupa profit baadae,,, kama ardhi, nyumba ya kupangisha, restaurants etc.... @YoungJigger
  10. Young rich nigga

    Mambo 10 ya kufanya kabla hujafika umri wa miaka 28

    Kwahio hata nguo zako ni asset ilimradi tu unaweza kuuza hata kwa mshkaj na kupata fedha? @YoungJigger
  11. Young rich nigga

    Mambo 10 ya kufanya kabla hujafika umri wa miaka 28

    Inaonesha wazi kabisa hajui maana ya asset huyo jamaa!!! Chochote kwake yeye atakwambia ni asset mpaka nguo zake nahisi atasema hvyohvyo @YoungJigger
  12. Young rich nigga

    Mambo 10 ya kufanya kabla hujafika umri wa miaka 28

    Daaah!! Kweli tunasafari ndefu @YoungJigger
  13. Young rich nigga

    Fursa ya kupiga pesa kwenye zao la mpunga 2019/2020

    Kwa ushauri wangu boss!! Subiria mchele wa morogoro hapo utaiona faida nzur!!! Kahama kule competition n kubwa inayosababisha bei kupaa!! Mimi pia nataka nianze na msimu kabsa huku stock yangu ikiwa imetulia ndani! @YoungJigger
  14. Young rich nigga

    Fursa ya kupiga pesa kwenye zao la mpunga 2019/2020

    Mpunga au mchele mkuu? @YoungJigger
  15. Young rich nigga

    Fursa ya kupiga pesa kwenye zao la mpunga 2019/2020

    Kahama saivi washaanza kuvuna!!! Watu wananunua stock kwa kwenda mbele!! Warwanda na wa2 wa UG ndio wamejaa saiv kule wananunua mchele!! @YoungJigger
Back
Top Bottom