Nahisi nina corona

Acha wenge mkuu...kula machungwa na maji mix na limao utakaa sawa. Ungeniona mm last Monday mpaka Wednesday nahisi mngeita police wanipeleke quarantine kwa lazima.

Me nahisi ni hali ya hewa tu inaleta Mafua na kikohozi kikali au la sivyo basi ni watu wengi tu tushaumwa na hiyo corona
 
Sawa mkuu ika nitapimwa huu ugonjwa? Na hospitali zote wana oima hii kitu?

Qn
wahi hospital mkuu, hospital yoyote unaweza kutibiwa, kumbuka korona haitibiwi kama korona kwamba ina dawa ila wanatibu dalili hizo, pia kunywa maji mengi, matunda(machenza, pineapple),vitamin c kwa wingi, nimesikia pia malimao unaweka kwenye maji ya moto unakunywa asubuhi mchana na jioni,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MR Kilimanjaro,
mkuu huo ugonjwa ni wakawaida, mpaka viongozi wakubwa wapo wenye nao eg waziri mkuu wa uingereza, apa Israel Netanyau kajitenga, waziri mkuu wa canada alifanya ivyo pia cancelor wa Ujeramani, wala usikupe shida.

Kama unahisi unadalili jitenge then piga namba iliyopendekezwa wape taarifa watakuambia nini cha kufanya/.Ila usi hofu wala usiogope kutoa taarifa sehemu husika.
 
Kiongozi piga machungwa na malimao sana hadi sura ikunje utatoboa tu... Halafu punguza kufanya sana mapenzi na shobo shobo hizi hiyo itakupunguzia kukutana kutana sana na watu hivyo unakuwa safe sana.
Kila la kheri.
 
Muda wa incubation ni siku moja hadi 14 na wewe hapo umeishavuka hizo siku bila kubanwa pumzi.

Upo salama ninavyojua mimi maana kama umepata madhara yake kwa wengi yanaonekana kwa siku tano tu na kuanza kubanwa pumzi na kuachia.

Kwa kuwa bado hatujui na tunaendelea kuujua huu ugonjwa inabidi ukapime kama unaogopa
Huku nje kuna kijana alikuwa na asthma siku kapata Corona siku ya pili tu akafa (sio Africa)
Kuna mengi hatuyajui ila tunafuata ushauri wa wataalamu tu.


Sent from my iPhone using Tapatalk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom