Recent content by young master

  1. young master

    JamiiForums Tanzania Wanawake waislamu wanaheshimu ndoa zao kuliko wanawake wa kikristo

    Iyo niakili ya MTU binafsi sikubaliani na wew hata wapagani wapo waliotulia
  2. young master

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu mzima kiganjani mwa CIA

    Inauma jinsi walivyomuua gadafi
  3. young master

    JamiiForums Tanzania Ufahamu mtambo wa kisasa wa kuzuia makombora wa Marekani unaoiumiza kichwa Uchina

    Inauma inasikitisha maovu yanazid ulimwenguni wao hawazuii Bali wanazid kuchochea vita but ndokilichoandikwa kwenye ufunuo wa yohana nikazi yashetani kuteka watu ufahamu
  4. young master

    JamiiForums Tanzania Ufahamu mtambo wa kisasa wa kuzuia makombora wa Marekani unaoiumiza kichwa Uchina

    Duh nazani itakuwa ndo chanzo cha vita ya tatu mana mataifa makubwa yanajihami sana na ndo kilichotabiriwa bible tuombeni ndugu dunia tutaiacha[emoji22] [emoji22] [emoji27] [emoji26] [emoji25]
  5. young master

    JamiiForums Tanzania Ufahamu mtambo wa kisasa wa kuzuia makombora wa Marekani unaoiumiza kichwa Uchina

    Duh nazani itakuwa ndo chanzo cha vita ya tatu mana mataifa makubwa yanajihami sana na ndo kilichotabiriwa bible tuombeni ndugu dunia tutaiacha
  6. young master

    JamiiForums Tanzania Ufahamu mtambo wa kisasa wa kuzuia makombora wa Marekani unaoiumiza kichwa Uchina

    Sisi watanzania hata bastola shida
  7. young master

    JamiiForums Tanzania Meli mpya ya Titanic II kuzinduliwa mwaka 2018

    Nadhani wanataka kutoa kafara tena
  8. young master

    JamiiForums Tanzania Yupi msanii wako bora wa hip hop Tanzania unayemkubali na kwanini huyo na si wengine??

    Yap nimkali but akifuatiwa na stamina
Back
Top Bottom