Weka picha hapa tuone acha maneno meng, hv ww mkenya unaweza kwel mfundisha mtanzania kiswahil, hahahaa unanichekesha..
Kwanza nahisi wakenya wengi wakija Bongo wanaweza tu wakawa wanalala nje, jinsi tu Tz ilivyokuwa Safi kuliko kenya
Ww kwel umechanganyikiwa na wazungu,yan wamekutawala kimwil hadi kiakil, yan ww mtu mweusi tii kama mkaa ety unajisifu kuongea kiingereza ndio maana mm huwa nasema wakenya wengi n washamba ona sasa unachoongea c ulimbukeni huu....
Ww kwel sio muelewa kitu kinachohitajika n nchi kuwa na umeme wa kutosha ili kuendana na Kasi ya maendeleo ya taifa sasa kama Tanzania xaxa hv wanaweza kugenerate umeme mwing had ukazid n xawa ndio jambo zur coz inawezekana kabisa hata kuuzia nchi jiran zenye uhaba wa umeme, Ila sio kwa hoja hyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.