Recent content by Young Kingpin

  1. Young Kingpin

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Usije ukathubutu kaka,then wanasheria yao wenyewe waanzishaji wa bettings kabisa wanasema usijaribu kubet almost 60 percent of your normal earnings .unaweza ukalia
  2. Young Kingpin

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Nmeipenda ya bajaji ,lakini ya nafaka au duka naona uncertainity factors nyingi kaka za uhakika wa profit mkuu
  3. Young Kingpin

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Wakuu ,.ninaomba kujua biashara iliyoko hot kwa now tz,, Please, kwa mtaji wa 15mil.,Either coaster or restaurant
  4. Young Kingpin

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Dont take it too seriously ,wengne wanajfurahisha tuu hmu
  5. Young Kingpin

    Fahamu kidogo kuhusu magari ya mizigo nchini Tanzania

    Kaka vipi kwa 75 m, unapata lets say ya mileage ngap?,
  6. Young Kingpin

    Best courses kusoma kwa Tz

    Kwa researches zilizopo inashauriwa students wasome hizi kozi for a better future,in terms of kutegemea ajira 1.Data science 2.Language and customer care 3.Medicine 4.Civil engineering 5.MBA 6.Computer technologies.
Back
Top Bottom